Uchaguzi 2020 Ummy Mwalimu atangaza kugombea Ubunge Jimbo la Tanga mjini

hizo hospitali si zilikuwa zinajengwa chini ya tamisemi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Waziri Ummy namkubali sana ni tofauti na mboga mboga wengine wa kijani. She is very humble , ana busara na sio mropokaji.. hata akisema anataka kuwa mgombea uraisi mimi nitampa kura yangu hata kama nitakuwa peke yangu.
 
Asante dada Ummy watu wa Tanga wapo nyuma yako
 
watu wajinga sana pesa ya walipa kodi au unatoa mfukoni mwako? badala ya kupambana nna corona unawaza ubunge October
 
A human being is a multi processor in nature, yaani tunafanya vitu vingi kwa wakati mmoja. Ndiyo maana hata wewe sasa unatoa maoni , huku ukiendelea na familia, kazi zako za kila siku , wosia wa wazee, mambo ya kijamii nk.
 
Vituo vya afya na zahanati zinajengwa na tamisemi..

Aache propaganga..

Sijui kwa nini walimpa wizara nyeti kama hii mtu kama huyu.
Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga Mjini.

Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospitali za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni asijali, kama Jiwe aliweza kumpa viti maalum atashindwaje kumbeba kwa mbeleko...
 
Yaan maccm yanataka kutuaminisha eti kuna uchaguzi wkt wanajua wanakwenda kugawana vyeo tu
 
Hili tulilijua mapema sana kuwa unataka jimbo la Tanga mjini
Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga Mjini.

Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospitali za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe alikua hajaiva tu.

Halafu akumbuke anaenda kugombea(ana uhakika manake hata hajasema anaenda kutia nia) tanga mjini na si tanzania nzima.

Asichanganye mafanikio yake na wizara na pale anapoenda kugombea.

Back
Top Bottom