Uchaguzi 2020 Ummy Mwalimu atangaza kugombea Ubunge Jimbo la Tanga mjini

Uchaguzi 2020 Ummy Mwalimu atangaza kugombea Ubunge Jimbo la Tanga mjini

Huyu amevurunda na vifo vinavyoendelea 'one way or another' anahusika

Ni failure hastahili...hiyo credibility hana

Ni ujinga wa watz wa kudanganywa na wali na khanga ndio utakaomsaidia kushinda.

Alipaswa awe amejiuzulu hasa kwa namna wizara yake inavyosimamia kizembe afya ya wananchi..

Wanakufa mawaziri, wabunge, wasomi, matajiri, raia wa kawaida, malofa, wapumbavu na watoto..

Yupo anauza sura, hana uchungu
 
Apambane kwanza na korona na atoe data zakweli... Mr. kujengajenga tunamjua hiyo siyo fani yake na chanzo cha ujenzi nikodi zetu na nyongeza za mishahara walizonyimwa wafanyakazi!! Atueleze Sera alizo initiates
 
Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga mjini.

Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospital za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .

Sent using Jamii Forums mobile app
Anastahili bila shaka wana ccm watampa nafasi hiyo na naamini hakuna wa kuweka kiwingu atakua mbunge. Huyu dada yetu hakika ni jembe mchapa kazi mzuri tanga tupeni bungeni arejee kutumikia taifa.
 
Aombe Mungu na alivyo kibonge asipate Corona ili lengo lake litimie, maana Ni kibonge
Humjui Ummy wewe.... Toka lini ummy akawa kibonge... Mimi nimekaa nae zero distance....... Hadi harufu yake nzuri na mikono laini nimeigusa... Alisema vipi baba hujambo..... Wagonjwa wanaendeleaje.... Hahahahaha nikamchekiii.... Nikamwitia wakubwa huko....wapige nae picha. ... Sio kibonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cheap politics kwa majuha ya tanzania. eti kajenga hospitali. Kwa hela za nani?
 
Huwa nawaelewa sana wabunge kama Sugu, Lema, Prof Jay, Mbowe, Msukuma, na yule wa zamani pale Kinondoni Idi Azan, Eng Kagasheki, Marehemu Ndesa Pesa, Rostam Aziz nk.

Hii jamii ya wabunge ambao mtaa hawaujui na hawajawahi hata kumiliki magenge ya nyanya mtaani huku shida sana, kifupi huwa wanaishi kwa theory sana..

Taifa kwa sasa linahitaji wabunge wengi ambao hawakuwahi kuishika hela baada ya kuwa part ya Serikali, tunataka wabunge ambao walizitafuta hela kivyao mtaani na wanauzoefu na pilika pilika za mtaani..

Hili kundi la watu waliotoka shule, wakaajiliwa na Serikali halafu leo hii tunawapa ubunge na nyadhifa kubwa za maamuzi ni hatari sana kwenye jamii yetu..
 
Hivyo vituo vya afya na zahanati vimejengwa wapi na wapi?

Watuletee taarifa ya utekelezaji tuione kisha tufatilie tujiridhishe kama ni kweli au siyo.

Mfano nataka kujua kama kijiji cha Kwamagome kule Handeni walishajengewa kituo cha afya au Zahanati?

Maana tangu Uhuru hadi leo wamekuwa wakihangaika kwenda kupata huduma mbali sana !


Sent using Jamii Forums mobile app
Huna tarafa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu amevurunda na vifo vinavyoendelea 'one way or another' anahusika

ni failure hastahili...hiyo credibility hana

ni ujinga wa watz wa kudanganywa na wali na khanga ndio utakaomsaidia kushinda.

alipaswa awe amejiuzulu hasa kwa namna wizara yake inavyosimamia kizembe afya ya wananchi..

wanakufa mawaziri,wabunge,wasomi,matajiri,raia wa kawaida,malofa,wapumbavu na watoto..

yupo anauza sura,hana uchungu
Mbowe wabunge na madiwani wengi wameikimbia Chadema lakini hajajihuzuru.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda wa kutangaza NIA kwa CCM UMEFIKA?

Mzee Mangula jitokeze UWAKEMEE.
 
Back
Top Bottom