Uchaguzi 2020 Ummy Mwalimu atangaza kugombea Ubunge Jimbo la Tanga mjini

Kumbe ruksa kutangaza eeeh, kuna Rafiki yangu mkubwa anataka kugombea Dodoma mjini. Ngoja naye nimwambie ajimwage
 
Safi sana. Atashinda kwa kishindo
 
Ajikite kwenye mapambano dhidi ya Corona kwa sasa. Hizo siasa zipo tu muda ukifika atafanya.
 
Hivyo vituo vya afya na zahanati vimejengwa wapi na wapi?

Watuletee taarifa ya utekelezaji tuione kisha tufatilie tujiridhishe kama ni kweli au siyo.

Mfano nataka kujua kama kijiji cha Kwamagome kule Handeni walishajengewa kituo cha afya au Zahanati?

Maana tangu Uhuru hadi leo wamekuwa wakihangaika kwenda kupata huduma mbali sana !


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kwakweli, msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mimi nikikutanagq na picha yake uwa naangalia shingo yake zaidi ya dk 10


Sent from my iPhone using JamiiForums
Unashangaa zile round/bangili
kweli mizuka imetofautiana
 
Hongera sana waziri Ummy, mwanamke akiwezeshwa anaweza, wewe ni mwanamke unajua umuhimu wa hospitali kwa wanawake, wagonjwa wanao kuja hospitalini kwa kila siku wengi ni wanawake na wototo, lakini pia jaribu kuwa hodari kutangaza hali halisi ya corona Tanzania bila kujali amri toka juu ili uwe shujaa zaidi, nafasi unayo na umepewa itumie ili utoke.
 
Aombe Mungu na alivyo kibonge asipate Corona ili lengo lake litimie ,maana Ni kibonge
 
Atatoboa?
 
Ni mapema sana kujisifia kwa kazi alizozifanya. Kati ya Leo mpaka Baraza la mawaziri litakapovunjwa kuna muda mrefu sana hapa katikati, lolote linaweza kutokea.
 
Umenikumbusha mwanaFA!
 
Hivi kutangaza nia kipindi kama hiki pia amepewa maagizo kutoka juu?

Kuna watanzania wanamtetea huyu dada eti anapewa maamuzi kutoka juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…