Siku chache kabla ya Rais Samia Suluhu Hassani kumtimua Ummy Mwalimu kwenye nafasi ya waziri wa Afya alipata kusema kwenye kikao kimoja baada ya Ummy kumwaga sifa lukuki kwa Rais kuwa ukitaka jambo lako lisemwe vizuri basi mwambie Ummy Mwalimu akusemee.
Baada ya kauli hiyo siku chache mbele Rais akafanya mabadiliko madogo ya baraza lake la mawaziri wakamuweka pembeni Ummy mwalimu.
Rais amefanya hivyo makusudi tu ili baadaye aweze kumteua Ummy Mwalimu kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrhaman Kinana ambaye aliomba kupumzika kutokana na umri wake kuwa mkubwa.
Soma Pia:
Comassava

- Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
- Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Comassava