Tetesi: Ummy Mwalimu kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kuziba nafasi ya Kinana

Siku chache kabla ya Rais Samia Suluhu Hassani kumtimua Ummy Mwalimu kwenye nafasi ya waziri wa Afya alipata kusema kwenye kikao kimoja baada ya Ummy kumwaga sifa lukuki kwa Rais kuwa ukitaka jambo lako lisemwe vizuri basi mwambie Ummy Mwalimu akusemee.

Baada ya kauli hiyo siku chache mbele Rais akafanya mabadiliko madogo ya baraza lake la mawaziri wakamuweka pembeni Ummy mwalimu.

Rais amefanya hivyo makusudi tu ili baadaye aweze kumteua Ummy Mwalimu kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrhaman Kinana ambaye aliomba kupumzika kutokana na umri wake kuwa mkubwa.

Soma Pia:
Utafiti uliofanywa na mwaandishi wa makala hii umabaini kuwa Rais ana imani kubwa na Ummy mwalimu kutokana na kuwa msemaji mzuri hivyo amempunzisha kwenye baraza la mawaziri makusudi ili baadaye apendekeze jina lake kuwa makamu mwenyekiti wake kwa kuwa Ummy ni msemaji mzuri.

Comassava
Sauti za kike ZINACHOSHA.
 
Ummy Mwalimu kwangu ndio best canditade wa Uwaziri Mkuu awamu ijayo. Atafika mbali yule dada.

Hapa sina track ya kusindikizia uzi, ila Dj tuondoe na YOPE ya DIAMOND

Dj, plee dat ting
Jamani jamani Ummy huyu huyu ?
 
Siku chache kabla ya Rais Samia Suluhu Hassani kumtimua Ummy Mwalimu kwenye nafasi ya waziri wa Afya alipata kusema kwenye kikao kimoja baada ya Ummy kumwaga sifa lukuki kwa Rais kuwa ukitaka jambo lako lisemwe vizuri basi mwambie Ummy Mwalimu akusemee.

Baada ya kauli hiyo siku chache mbele Rais akafanya mabadiliko madogo ya baraza lake la mawaziri wakamuweka pembeni Ummy mwalimu.

Rais amefanya hivyo makusudi tu ili baadaye aweze kumteua Ummy Mwalimu kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrhaman Kinana ambaye aliomba kupumzika kutokana na umri wake kuwa mkubwa.

Soma Pia:
Utafiti uliofanywa na mwaandishi wa makala hii umabaini kuwa Rais ana imani kubwa na Ummy mwalimu kutokana na kuwa msemaji mzuri hivyo amempunzisha kwenye baraza la mawaziri makusudi ili baadaye apendekeze jina lake kuwa makamu mwenyekiti wake kwa kuwa Ummy ni msemaji mzuri.

Comassava
Muuaji anapewa kitengo
 
Back
Top Bottom