Tetesi: Ummy Mwalimu kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kuziba nafasi ya Kinana

Boi Manda

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2023
Posts
388
Reaction score
506
Siku chache kabla ya Rais Samia Suluhu Hassani kumtimua Ummy Mwalimu kwenye nafasi ya waziri wa Afya alipata kusema kwenye kikao kimoja baada ya Ummy kumwaga sifa lukuki kwa Rais kuwa ukitaka jambo lako lisemwe vizuri basi mwambie Ummy Mwalimu akusemee.

Baada ya kauli hiyo siku chache mbele Rais akafanya mabadiliko madogo ya baraza lake la mawaziri wakamuweka pembeni Ummy mwalimu.

Rais amefanya hivyo makusudi tu ili baadaye aweze kumteua Ummy Mwalimu kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrhaman Kinana ambaye aliomba kupumzika kutokana na umri wake kuwa mkubwa.

Soma Pia:
Utafiti uliofanywa na mwaandishi wa makala hii umabaini kuwa Rais ana imani kubwa na Ummy mwalimu kutokana na kuwa msemaji mzuri hivyo amempunzisha kwenye baraza la mawaziri makusudi ili baadaye apendekeze jina lake kuwa makamu mwenyekiti wake kwa kuwa Ummy ni msemaji mzuri.

Comassava
 
Boi Manda huyu wa Raskazone Bombo Area Tanga ?!! [emoji1787]

Chapuo sio?!![emoji1787]

Hali ya hewa na "projection ya UBUNGE" mjini Tanga inayumba(erratic)?!!

Piga kazi mkuu kwani najua "anasaidia" sana mambo ya "urojo" pale "bara 10" na "arubaki za TAKSIMA mwanaye VEVE" [emoji1787]

#Nchi inamfurahia CHIFU MKUU HANGAYA [emoji7]
 
hayatuhusu hata awe Mwenyekiti wa pili sawa tu!
 
Mmmhh!
 
Wa Chongolieni 😄 🤣 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…