Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo ya Utarajali
Tamko hili Limekuja baada ya Wanafunzi kulalamika kupitia JamiiForums kwamba utaratibu wa kusubiri miezi nane ndipo warudiE mitihani inawauimiza.
www.jamiiforums.com
Tamko hili Limekuja baada ya Wanafunzi kulalamika kupitia JamiiForums kwamba utaratibu wa kusubiri miezi nane ndipo warudiE mitihani inawauimiza.
Malalamiko ya Wanafunzi wa Kada ya Afya kuhusu Mitihani ya 'Supplementary'
Habari, Sisi ni wanafunzi wa afya ambao mwaka jana mitihani ilivuja kwa baadhi ya Vyuo na uamuzi uliofikiwa ni kufutia matokeo na kufanya mitihani upya jambo ambalo ni sawa kabisa. Shida imekuja hivi matokeo yalivyotoka wanafunzi waliofeli ni wengi kuliko walio faulu na pia wanafunzi wengi...