Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ummy,! Ni utasikia uliopita! Wewe mwenyewe Kwa kauli yako ulituambia Baada ya kushuhudia madaktari wakiombana Rushwa Sasa ukitarajia mgonjwa afanyeje au ndugu wasemeje! Kumbe basi tatizo Liko humo ndani mwenu liondoeni kwanza!View attachment 2342142
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema chanzo cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuyumba ni pamoja na kuwepo kwa matumizi yasiyo na tija kwa wagonjwa ikiwemo kurudia kufanya vipimo mara kwa mara katika hospitali tofauti.
“Kwanini NHIF iko katika hatari? ni sisi wenyewe wananchi. Leo nimeenda Muhimbili hospitali, nimeenda kufanya kipimo cha X-ray na vipimo vingine nimeandikiwa na dawa, kesho naenda private [hospitali binafsi] nafanya kipimo, naandikiwa dawa, ugonjwa huo huo. Sasa hapo kwanini NHIF isife kama tunaenda kwa mtindo huu?” amesema Waziri Ummy.
Aidha, Waziri Ummy amewatoa hofu wananchi na wanachama wa NHIF akieleza kuwa pamoja na mfuko huo kukabiliwa na changamoto nyingi bado utaendelea kuwepo na kutoa huduma bora za afya.
Ameongeza kuwa, ili mfuko uweze kuendelea vizuri mambo kadhaa yanapaswa kufanyika ikiwemo kuongeza idadi ya wanachama, kudhibiti matumizi yasiyo na tija na kudhibiti vitendo vya udanganyifu vinavyofanywa na baadhi ya watoa huduma za afya.
Hii point nakubaliana nayo shida madaktari kutoamini vipimo vya hospital flani , kweli na wakati mwingine htashi wa wagonjwa hapo kwenye vipimo vile vile walimit kabisa kuokoa mfukoView attachment 2342142
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema chanzo cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuyumba ni pamoja na kuwepo kwa matumizi yasiyo na tija kwa wagonjwa ikiwemo kurudia kufanya vipimo mara kwa mara katika hospitali tofauti.
“Kwanini NHIF iko katika hatari? ni sisi wenyewe wananchi. Leo nimeenda Muhimbili hospitali, nimeenda kufanya kipimo cha X-ray na vipimo vingine nimeandikiwa na dawa, kesho naenda private [hospitali binafsi] nafanya kipimo, naandikiwa dawa, ugonjwa huo huo. Sasa hapo kwanini NHIF isife kama tunaenda kwa mtindo huu?” amesema Waziri Ummy.
Aidha, Waziri Ummy amewatoa hofu wananchi na wanachama wa NHIF akieleza kuwa pamoja na mfuko huo kukabiliwa na changamoto nyingi bado utaendelea kuwepo na kutoa huduma bora za afya.
Ameongeza kuwa, ili mfuko uweze kuendelea vizuri mambo kadhaa yanapaswa kufanyika ikiwemo kuongeza idadi ya wanachama, kudhibiti matumizi yasiyo na tija na kudhibiti vitendo vya udanganyifu vinavyofanywa na baadhi ya watoa huduma za afya.
Utafiti ufanyike vizuri ili kujua chanzo halisi cha nhif kuyumba.mwanzoni wakati shirika linaanza,watumishi wengi hawakulikubali,hivyo walikuwa wanabeba familia zote kila siku Kwa ajili ya matibabu ili kulikomoa,lakini halikuyumba.Haya magonjwa ya Leo hata wakati nhif inaanza yalikuwepo,lakini halikuyumba.Nini kimetokea?View attachment 2342142
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema chanzo cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuyumba ni pamoja na kuwepo kwa matumizi yasiyo na tija kwa wagonjwa ikiwemo kurudia kufanya vipimo mara kwa mara katika hospitali tofauti.
“Kwanini NHIF iko katika hatari? ni sisi wenyewe wananchi. Leo nimeenda Muhimbili hospitali, nimeenda kufanya kipimo cha X-ray na vipimo vingine nimeandikiwa na dawa, kesho naenda private [hospitali binafsi] nafanya kipimo, naandikiwa dawa, ugonjwa huo huo. Sasa hapo kwanini NHIF isife kama tunaenda kwa mtindo huu?” amesema Waziri Ummy.
Aidha, Waziri Ummy amewatoa hofu wananchi na wanachama wa NHIF akieleza kuwa pamoja na mfuko huo kukabiliwa na changamoto nyingi bado utaendelea kuwepo na kutoa huduma bora za afya.
Ameongeza kuwa, ili mfuko uweze kuendelea vizuri mambo kadhaa yanapaswa kufanyika ikiwemo kuongeza idadi ya wanachama, kudhibiti matumizi yasiyo na tija na kudhibiti vitendo vya udanganyifu vinavyofanywa na baadhi ya watoa huduma za afya.
Ndio ulichoelewa, haki[emoji23][emoji23]Kwaiyo tukiumwa tusiende hospital !???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hebu taja maana yake hapa ili tuielewe??Na maana ya Bima ya afya haina maana tena kwa sasa.
Ninani aliesema huduma ni finyu, kama ni hivyo sasa hospitali zianze kufungiwa. Sihuduma nifinyu.Mtu hadi anatoka Hospital A to Hospital B, ni kutokana na huduma finyu zinazonekana hata kwa macho, matokeo yake mtu anakosa imani anaenda ku cheki na kwingine asije kuwa kapewa tango pori
Nani kakupangia, kweli Universal health coverage tutashindwana Tanzania[emoji23][emoji23]Yani mnatupangia namna ya kuugua??
Hapa ndio maana mtu hufikia treatment failure na figo kugonga mwamba. Ugonjwa haujaribiwi bali unajitibu. Usikubali mwili wako utumike kama test subject kwasababu unajiangamiza mwenyewe ila bado Mtanzania yeye ni mguu na njia[emoji23][emoji23][emoji23]Siku akiumwa tuone kama hatajaribu hosp mbalimbali hadi aende India.
Kwingine vipimo vinatofautiana
Mtu anapigania uhai, hakuna mtu anapenda kuumwa.
Yeye anatibiwa njeHuyu naye. Kwahiyo tusipate mitazamo tofauti juu ya magonjwa yetu?
Mnatunyonya na bado mfuko unayumba. Lol
Kweli tupuNchi ya wajinga hata hoja zake hujibiwa kijinga kwa kujua kwamba zitapokkelewa kijinga na wajinga.
Hahah unakuta dokta kakuseti kuwa una UTI na Malaria kumbe hata UTI yenyewe huna unabugia antibiotic unawaongezea faida 😂😂😂Mtu hadi anatoka Hospital A to Hospital B, ni kutokana na huduma finyu zinazonekana hata kwa macho, matokeo yake mtu anakosa imani anaenda ku cheki na kwingine asije kuwa kapewa tango pori
Nani aliyekukataza kupata msimamo tofauti. Ila siunajua window period ya dosage kuisha au wewe ni storage ya dawa. Pia chukulia ile ni pesa yako, sasa fanya kama hivyo uone madhara. Mtanzania nimtu mgumu kumuelewesha.Huyu naye. Kwahiyo tusipate mitazamo tofauti juu ya magonjwa yetu?
Mnatunyonya na bado mfuko unayumba. Lol
Zitaje chief wangu [emoji23][emoji23]Hizo ni sababu mfu,waziri tunajua hawezi sema UKWELI ulio nyuma ya pazia.Akiusema ukweli atakuwa si wazir tena.
Hii wengi sana imewakuta, wanapewa dozi nzito nzito ili kuondoa madawa kwenye store ilhali mtu haumwi au ana ka ugonjwa kadogo tuHahah unakuta dokta kakuseti kuwa una UTI na Malaria kumbe hata UTI yenyewe huna unabugia antibiotic unawaongezea faida 😂😂😂