THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Friends and Enemies,
Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu sana nchi hii tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa,
Japo kama nchi tunahitaji chama cha siasa kituongoze hatuna jins kuendelea na siasa.
Ni ukweli ulio wazi kuwa wanasiasa wengi nchi hii ni wachumia tumbo,wachache Sana wenye uzalendo.
Hawa wapinzan tulionao hawataki kuambiwa ukweli kuwa umoja ni NGUVU, na bila kuungana wasahau kuiondoa CCM madarakani.
Ona wanachokifanya sasa hivi, badala ya kujikita katika kuungana na kutengeneza umoja wameanzisha harakati za kudai katiba mpya kwa makundi makundi, wanasahau kwanza kuungana na kudai hiyo katiba kwa umoja wao wameanza kudharauriana wenyewe kwa wenyewe, kwa style hiyo wataepuka vip hila za divide and rule?
Hawana misingi na mikakati thabiti, hawa ni waganga njaa tu.