Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Njaa haina baunsa mkuu.Ukawa unaikumbuka??
Walikuja kugombana mwishoo huku kisa uroho wa madaraka,nan awe kiongoz wa ukawa,mbowe au lipumba??wakamwagana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa haina baunsa mkuu.Ukawa unaikumbuka??
Walikuja kugombana mwishoo huku kisa uroho wa madaraka,nan awe kiongoz wa ukawa,mbowe au lipumba??wakamwagana
Avatar ya mtoa mada inaonyesha ni mtu mwenye busara lakini anaandika utumbo!
Wanaganga njaa tu ndugu yang. Ndio maana wenyeviti wa vyama vyao sana sana chadema wamewekeza zaidi kwa mateja, wanywa viloba, wanywa gongo, mashoga, vibaka nk.Asante sana Mkuu,
So to say,hawa jamaa wanacheza na akili zetu au wanaganga Njaa zao??
I am telling you,bila kuungana ni kama mnatwanga maji kwenye kinu tuuuh
Tanzania hakuna upinzani....wanajiita wanaharakati na wazee wa kukalili tungo za watu waliowahi kuwa maarufuSasa mkuu, bila kuungana wapinzan wa nchi hii wataweza vip kuidondosha CCM?
Mbowe ana miaka 17 yupo hatak kutoka.
Lipumba miaka zaid ya 17 yupo hataki kutoka.
Mbatia na wenzake hivyo hivyo,Mimi nakuambia hawa ni waganga Njaa tuh
Utaungana na Lipumba, Zitto, Mrema!?Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu Sana nchi hii Tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa,
Kama unabisha yaliyowazi ya polisi kuingia kwenye vituo vyao kupigia kura na maboksi ya ballot papers already marked in favour of CCM, then una tatizo la partisanship...Kama alivyosema mmoja hapo juuHow opposition won that election comrade??
Election it's true that was rigd off,but voters turn over was extremely very minimal,walishindaje??
Sasa utafanyaje mkuu,pekeyako kama chadema mbungi hii ya CCM kuicheza utaweza. Kweli?Utaungana na Lipumba, Zitto, Mrema!?
Kama unabisha yaliyowazi ya polisi kuingia kwenye vituo vyao kupigia kura na maboksi ya ballot papers already marked in favour of CCM, then una tatizo la partisanship...Kama alivyosema mmoja hapo juu
Mbowe kakamata vichwa vya CDM bado ana siasa za enzi zile za JK ni pure activist.
Sidhani kama kikukeracho ni KUTO-KUUNGANA! Unaonyesha KIKUKERACHO ni MBOWE kuwa MWENYEKITI kwa muda mrefu huko CHADEMA. Umeshindwa kuficha MATAMANIO YAKO!Friends and Enemies,
Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu Sana nchi hii Tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa,
Japo kama nchi tunahitaji chama Cha siasa kituongoze hatuna jins kuendelea na siasa,
Ni ukweli ulio wazi kuwa wanasiasa wengi nchi hii ni wachumia tumbo,wachache Sana wenye uzalendo ,
Hawa wapinzan tulionao hawataki kuambiwa ukweli kuwa umoja ni NGUVU,na bila kuungana wasahau kuiondoa CCM madarakan,
Ona wanachokifanya sasa hivi, badala ya kujikita katika kuungana na kutengeneza umoja wameanzisha harakati za kudai katiba mpya kwa makundi makundi, wanasahau kwanza kuungana na kudai hiyo katiba kwa umoja wao wameanza kudharauriana wenyewe kwa wenyewe,kwa style hiyo wataepuka vip hila za divide and rule?
Hawana misingi na mikakati thabiti, hawa ni waganga Njaa tuuh
Tuongee tu ukweli..hata wakiungana bado hawawezi
😅Sasa utafanyaje mkuu,pekeyako kama chadema mbungi hii ya CCM kuicheza utaweza. Kweli?
Sidhani kama kikukeracho ni KUTO-KUUNGANA! Unaonyesha KIKUKERACHO ni MBOWE kuwa MWENYEKITI kwa muda mrefu huko CHADEMA. Umeshindwa kuficha MATAMANIO YAKO!
Naona unawadanganya wenzio bure kabisa.
Kwanza, hawawezi kuungana
Pili, Wana tamaa za madaraka
Tatu na mwisho, hawana vision yenye mantiki
Soma comment namb #11 kama ni mwelewa wa kweli utaelewa tu mkuu.Utaungana na Lipumba, Zitto, Mrema!?
Hawashauriki, wala usijehangaisheTunawashaur tuh,wakitaka wachukue wakitaka wanitukanee hiyar yao