Umoja ni nguvu: Wapinzani nchi hii bila kuungana wasahau kushika Dola

Asante sana Mkuu,

So to say,hawa jamaa wanacheza na akili zetu au wanaganga Njaa zao??
Wanaganga njaa tu ndugu yang. Ndio maana wenyeviti wa vyama vyao sana sana chadema wamewekeza zaidi kwa mateja, wanywa viloba, wanywa gongo, mashoga, vibaka nk.

Kwa sababu anajua wanachama wa aina hiyo hawana uwezo wa kujua chochote kuhusu matumizi yake ya ruzuku na misaada mingine ya chama inayotoka kwa wazungu.

Amegundua wanachama wa aina hii ni rahisi sana kuwadanganya na wakachangia chama bila kufuatilia matumizi halisi ya hiyo michango yao ilivyotumika nk
 
Sasa mkuu, bila kuungana wapinzan wa nchi hii wataweza vip kuidondosha CCM?

Mbowe ana miaka 17 yupo hatak kutoka.

Lipumba miaka zaid ya 17 yupo hataki kutoka.

Mbatia na wenzake hivyo hivyo,Mimi nakuambia hawa ni waganga Njaa tuh
Tanzania hakuna upinzani....wanajiita wanaharakati na wazee wa kukalili tungo za watu waliowahi kuwa maarufu
 
Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu Sana nchi hii Tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa,
Utaungana na Lipumba, Zitto, Mrema!?
 
How opposition won that election comrade??

Election it's true that was rigd off,but voters turn over was extremely very minimal,walishindaje??
Kama unabisha yaliyowazi ya polisi kuingia kwenye vituo vyao kupigia kura na maboksi ya ballot papers already marked in favour of CCM, then una tatizo la partisanship...Kama alivyosema mmoja hapo juu
 
Kama unabisha yaliyowazi ya polisi kuingia kwenye vituo vyao kupigia kura na maboksi ya ballot papers already marked in favour of CCM, then una tatizo la partisanship...Kama alivyosema mmoja hapo juu

Ni kweli Kuna baadhi ya maeneo ccm waliiba Kura,lakin ni kutokana na wapinzan kutoungana,

Kuna baadhi ya vituo havikuwa na wawakilishi kabisa wa upinzan ccm watashidwaje kuiba Kura??

Jengeni umoja kwanza
 
Mbowe kakamata vichwa vya CDM bado ana siasa za enzi zile za JK ni pure activist.

Zama zimebadilika,generations pia zinabadilika,wanachoshindwa kuelewa no kwamba wenzako ccm nao wanabadilika ma hzo zama,wanataka kuendelea kubakia madarakan,
 
Sidhani kama kikukeracho ni KUTO-KUUNGANA! Unaonyesha KIKUKERACHO ni MBOWE kuwa MWENYEKITI kwa muda mrefu huko CHADEMA. Umeshindwa kuficha MATAMANIO YAKO!
 
Sidhani kama kikukeracho ni KUTO-KUUNGANA! Unaonyesha KIKUKERACHO ni MBOWE kuwa MWENYEKITI kwa muda mrefu huko CHADEMA. Umeshindwa kuficha MATAMANIO YAKO!

Wewe unaona mbowe bila kutengeneza succession plan ya chama chake ni afya kwa upinzan kwa baadae?

Yeye anatakaje,had umaut umfike kama maalim seif?au had azeeeke aishiwe nguvu ndipo aachie uongoz wa chama??
 
Naona unawadanganya wenzio bure kabisa.

Kwanza, hawawezi kuungana

Pili, Wana tamaa za madaraka

Tatu na mwisho, hawana vision yenye mantiki

Tunawashaur tuh,wakitaka wachukue wakitaka wanitukanee hiyar yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…