THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
-
- #61
Wakati wa dhalimu Id hii na ya ritz zilipotea sana, na zozote sasa hivi zimerudi. Hazina muda Id hizi zitaanza kutetea uisilamu.
Kwan huko ndan ya chadema,Kuna uchaguz huru na WA haki??
Mwenyekiti wa Chama yuko madarakani mwaka wa 17 huu,unataka kusemaje Kuna demokrasia hapo??
Mnajichoresha sana
Waungane wanafanana mitazamo? Mpaka sasa ukiachia cdm na ACT, kuna chama kingine cha upinzani kimejitokeza kwa uwazi kudai hiyo katiba? Unalazimisha kuungana kisha kutokee kutokuelewana na kuishia kuchafuana? Ni hivi, anayetaka katiba aidai kivyake, cha muhimu ni kupata katiba mpya, kuungana ni agenda nyingine, na huko nyuma imefail.
Kwan lazima ujiunge na mrema au shibuda??
nyinyi shida yenu mnajiona nyinyi pekee ndiyo wapinzan nchi hi...
Kwan lazima ujiunge na mrema au shibuda??
nyinyi shida yenu mnajiona nyinyi pekee ndiyo wapinzan nchi hii..
Membe kwanini alinyimwa form kisha yule dhalimu magufuli kumfukuza chama? Yule binti Simba kwanini dhalimu magufuli alimfukuza chama? Alifuata vikao vya chama? Hao mamluki aliowanunua toka Chadema wengi hata mwaka hawa kumaliza kwanini walipewa teuzi badala ya wafia chama?
Wapinzani unawaona wewe wako serious ni kina nani?Kwan lazima ujiunge na mrema au shibuda??
nyinyi shida yenu mnajiona nyinyi pekee ndiyo wapinzan nchi hii...
Kwan lengo la kuungana ni kudai katiba mpya au kuitoa ccm madarakan??
Kama Chadema si wapinzani wa kweli umesikia chama kipi kingine kati ya act wasaliti, tlp, cheyo, shibuda wakiipigania katiba mpya? Unadhani ni kwanini wako kimya kudai katiba mpya?
waungane na kushirikiana kwa pamoja kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, ili kuwasafishia njia na kuwarahisishia kushika dola kirahisi kabisa.Friends and Enemies,
Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu sana nchi hii tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa...
Itoe CHADEMA, weka nguvu zako kuunganisha hivyo vyama vingine na kiongozi wao awe ACT. Unasumbuliwa na nongwa ya cdm, wao cdm wameshajiunga huko nyuma, matokeo ya kujiunga huko wakajikuta wanachafuliwa tu.
Kwan kupigania katiba mpya ndiyo kipimo Cha usaliti au kutokuwa na usaliti??
na nyinyi chadema mnapoidai hiyo katiba mnaidai kwa kuwa Mnaumia kwa mapungufu yaliyomo kwenye hii katiba au mnaishupalia kwa kuwa mnaona inawakosesha opportunity ya kuingia madarakan??
Kila mwaka mnasemaga hivyo hivyo, hivi mawakala wenu huwa wanakuwa wapi hadi kura zinaibiwa?!!!Low reasoning observation, CDM won the 2020 election only that it was stolen by those in power.
Agenda no. 1 ya upinzani kwa mtazamo wangu si kuingia ikulu, bali kuhakikisha nchi inaongozwa kwa misingi ya kisheria. Agenda kuu ya kutawala ni ya CCM, ikiongozwa na hofu ya kushitakiwa pindi wakitoka madarakani kwa maovu wayatendayo.Friends and Enemies,
Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu sana nchi hii tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa,
Japo kama nchi tunahitaji chama cha siasa kituongoze hatuna jins kuendelea na siasa.
Ni ukweli ulio wazi kuwa wanasiasa wengi nchi hii ni wachumia tumbo,wachache Sana wenye uzalendo.
Hawa wapinzan tulionao hawataki kuambiwa ukweli kuwa umoja ni NGUVU, na bila kuungana wasahau kuiondoa CCM madarakani.
Ona wanachokifanya sasa hivi, badala ya kujikita katika kuungana na kutengeneza umoja wameanzisha harakati za kudai katiba mpya kwa makundi makundi, wanasahau kwanza kuungana na kudai hiyo katiba kwa umoja wao wameanza kudharauriana wenyewe kwa wenyewe, kwa style hiyo wataepuka vip hila za divide and rule?
Hawana misingi na mikakati thabiti, hawa ni waganga njaa tu.
Lengo kubwa la chama Cha siasa ni kuingia ikulu na kushika dolaAgenda no. 1 ya upinzani kwa mtazamo wangu si kuingia ikulu, bali kuhakikisha nchi inaongozwa kwa misingi ya kisheria. Agenda kuu ya kutawala ni ya CCM, ikiongozwa na hofu ya kushitakiwa pindi wakitoka madarakani kwa maovu wayatendayo.
Kila mwaka mnasemaga hivyo hivyo, hivi mawakala wenu huwa wanakuwa wapi hadi kura zinaibiwa?!!!
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
I am telling you, bila kuungana ni kama mnatwanga maji kwenye kinu tu
Bahati mbaya sana ni kwamba ndani ya wapinzani wenyewe hawafanani so ni ngumu sana wao kuwa kitu kimoja.Friends and Enemies,
Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu sana nchi hii tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa,
Japo kama nchi tunahitaji chama cha siasa kituongoze hatuna jins kuendelea na siasa.
Ni ukweli ulio wazi kuwa wanasiasa wengi nchi hii ni wachumia tumbo,wachache Sana wenye uzalendo.
Hawa wapinzan tulionao hawataki kuambiwa ukweli kuwa umoja ni NGUVU, na bila kuungana wasahau kuiondoa CCM madarakani.
Ona wanachokifanya sasa hivi, badala ya kujikita katika kuungana na kutengeneza umoja wameanzisha harakati za kudai katiba mpya kwa makundi makundi, wanasahau kwanza kuungana na kudai hiyo katiba kwa umoja wao wameanza kudharauriana wenyewe kwa wenyewe, kwa style hiyo wataepuka vip hila za divide and rule?
Hawana misingi na mikakati thabiti, hawa ni waganga njaa tu.
Mimi nimewataja wapinzan,kwann mnaumia chadema pekeyenu??