Umoja Party walikuja kuzima harakati halali

Ndio hivo Samia na Lissu wote hawampendi JPM na ndio watakaogombea so wewe endelea kupiga kelele Mitandaoni ila hamna utakachobadilisha
Kwa Imani, Mungu aweko mbele na nyuma yao na awape kibali na tunawaombea! Lakini usisahau pia hili! Mungu anamfahamu vizuri Raisi wetu 2025 na siyo wewe!

Jambo ambalo unapaswa ulijue kuhutuhusu!

Mimi ni Mimi na wewe ni wewe! Uwerevu na ujinga wako haunihusu Mimi, vilevile kwako
 
Mkuu siasa ndio zipo hivo, kipindi Cha JPM mlimtukana sana JK kuwa hakuna alilofanya.... Wakati wa JK Nako walimsakama Mkapa kwa ufisadi na ubinafsishaji. Hata Samia akitoka utaona watakavyoibua uozo wake.

So muache kulialia mkubaliane na uhalisia wa mambo. JPM ndio hivyo Tena
 
Wote wataanguka hao na hautaamini, labda katiba mpya isipatikane, yaani ni hivii hawapendwi.
 
Mnamuingiza Mungu wa Nini kwenye uhuni wenu wa kuiba kura? 2025 mgombea ni Samia maana huko kwenu hakuna anayeruhusiwa kuchukua fomu so msijitie moyo kabisa kuwa Kuna mabadiliko. Shibuda alitimuliwa kwa kutaka fomu 2010, membe kafukuzwa kwa kutaka fomu 2020 ndio muujiza Gani utafanyika 2025 ilihali mpaka siku ya uchaguzi Bado ni amiri jeshi mkuu na Mwenyekiti?
 
Kulialia ndo kunafanana na kule kusema kwamba, Mimi na wewe ni watu 2 tofauti? Ijapokuwa sote ni binadamu

Wewe huwezi kuwa Mimi na Mimi siwezi kuwa wewe! Usinilazimishe nione kama unavyoona wewe!

Narudia tena! JPM kwangu mimi ndiye raisi bora aliyewahi kutokea Tanzania! Na huu msimamo hauondolewi kwa peremende na au asali yoyote na hata kwa kejeli zozote mitandaoni

Ni ujinga mtu aanze kuona wenye msimamo kama huu wangu eti wamepotoka! Upotovu huohuo, unakuwa sehemu ya waliokinyume na mtazamo huu
 
Fikira zako zidumu ijapokuwa unaakili nzito!

Nimesema! Kumtaja na ama kusema 2025 atakuwa Samia tena, ni sawa kwa kuwa ni namba! Lakini mwenye kujua hili na kulithibitisha ni Mwenye kuiona hiyo 2025, Tunawaombea uhai na afya kwa wote wenye nia hiyo,

Lakini ibaki kusema kuwa, 2025 Mungu anamjua Rais wetu
 
Wala hakuna aliyekulazimisha ila nimekueleza ukweli tu kwamba hata Samia akitoka atatukanwa zaidi ya JPM na hizo ndio siasa zetu. So usianze kulialia wakati mlishangilia kipindi JPM anatumbua majipu huku matusi juu kwa JK
 
Kwamba watakufa Marais wawili madarakani? Mnajidanganya..... Mgombea ni Samia you can take it to the bank. So kazi kwako umchague fisadi au Chadema hutaki hama nchi
 
Matusi uliyomtukana JPM ndo yako wapi eti!
 
Kwamba watakufa Marais wawili madarakani? Mnajidanganya..... Mgombea ni Samia you can take it to the bank. So kazi kwako umchague fisadi au Chadema hutaki hama nchi
Kwa ulichochangia hapa! Nimegundua kwamba, unasumbuliwa na age!
 
Muda ukifika utajua
Mbowe Jana kazungumza kwamba vyama vimebaki viwili tu, yaani kampongeza JPM kwa "kusaidia" kufuta vyama uchwara!!

Kama unadhani ACT au Umoja kitaweza itisha CCM basi unajidanganya. Membe yukwapi?
 
Kwa ulichochangia hapa! Nimegundua kwamba, unasumbuliwa na age!
Yeap I'm young but I'm not stupid.... Watu walipotaka fomu 2020 mliwashambulia kumbe hamkujua Mme set precedence mbaya. Sasa 2025 fomu itachukuliwa Moja kma JPM na mkipinga yatawakuta ya Mpina!!
 
Tatizo akili yako inaona kile haipaswi ikiaminj
 
Kata mzizi wa fitina...!.Kama kuna ushahidi kwamba Lissu alikuwa analobby na hao watu wasiolitakia mema Taifa letu tupe sisi tulio gizani...!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
We jamaa ni kilaza kweli!! Kwahiyo Lissu aliye lobby ndio alistahili kifo ila Mwanyika aliyeisababishia serikali hasara ya zaidi ya Trillion 300 ndio ana haki sio tu ya kuishi ila akapewa na ubunge kabisa!!

Ila hii nchi Kuna watu sijui mna akili za wapi. Ufisadi wafanye CCM lawama kwa Lissu? Mna matatizo ya akili sio kidogo
 
Unajua kujenga hoja ila likija suala la Lissu na Mbowe au Chadema sijui kwanini unajitoa ufahamu hapa ndipo unanishangaza
 
Shida tumejaa UNAFKI. Ni nchi gani mtu aina ya Lisu anaweza fanya upuuz aliokua anafanya kipindi cha Makinikia na akabaki salama?Tumejaa SIASA uchwara kiasi kutoona Lisu ni msaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…