Umoja Party walikuja kuzima harakati halali

Nani alikuwa kiongozi wa hivyo viumbe vya kila aina na kila kimoja kikiishi kwa style yake?

Huyo kiongozi wa hivyo viumbe yeye alikuwa anazijua sheria na kuzifuata?

Kama una kiongozi asiefuata sheria, na hao wasaidizi wake nao wakawa hawafuati sheria, walijichukulia hatua mkononi kwa kuyaharibu mashamba ya Mbowe wao personally, hiyo ndio ilikuwa haki kwako?
 
Mnyeti hajawahi kuwa DC wa Hai... alikuwa DC Arumeru...
Ok, kumbe alikuwa Arumeru, lakini alikuwa akifika Hai kinyume na eneo lake la utawala na kuharibu mali za watu kinyume cha sheria, ule ulikuwa ni uhuni, sio wakutetewa na anayejitambua.
 
Samia ni muoga mno.

Kwanini anakataa usajili wa umoja party.??
 
Mpaka saa kuna vyama vina uwezo wa kuongoza nchi tofauti na CCM

Vyama vinavyotajwa tajwa ni CHADEMA na ACT Wazalendo.

Wazalendo wanapsswa kuvipatia mshikamano vyama vya siasa vya upinzani vilivyopo badala ya kuvibeza.

CHADEMA wana uzoefu na misingi ambayo ikiendelea kuimarishwa wanakuja kuwa shina imara la Tanzania ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…