Umoja wa Afrika (AU) waisimamisha Sudan uanachama kufuatia Mapinduzi

Umoja wa Afrika (AU) waisimamisha Sudan uanachama kufuatia Mapinduzi

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
b9z76227vtvy.jpg

AU imesema kusimamishwa kwa uanachama wa Sudan kutatekelezwa hadi serikali ya mpito inayoongozwa na raia irejeshwe.

======

The African Union has said it suspended Sudan from all its activities after the Sudanese military overthrew the civilian-led transitional government in a coup.

In a communique, the pan-African body said the suspension would be in place until “the effective restoration” of the transitional authority steering the country towards elections.

Source: Al Jazeera

PIA, SOMA:
 
Wakati wazungu wanaanzisha fujo hapo kwa kumuondoa albashir aliyekuwa akitawala kihalali mulikuwa wapi?
Hopeless kabisa
 
AU ni jukwaa tu la watawala wa Africa kukutana na kupiga soga ila haina jipya kwenye utatuzi wa migogoro lukuki kwenye hili bara 'hopeless' kabisa.
 
AU ni baraza la wazee tu lisilo na nguvu yoyote. Ukipima wastani wa miaka ya viongozi wanaokutana AU haupungui 70.
 
Back
Top Bottom