Umoja Wa Makanisa Ya Kipentekoste(CPCT) Tabora Yakana Tuhuma "Mapenzi Ya Jinsia Moja"

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Mkoa wa Tabora limeiomba Serikali kuruhusu kuendelea kwa mkutano wa injili unaotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 19 hadi 22, 2026 ukiongozwa na Mchungaji Dkt. Dana Morey kutoka Marekani.

Ombi hilo limekuja baada ya Serikali ya mkoa kusitisha mkutano huo kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili mchungaji huyo za kugawa mipira na vipeperushi katika shule za msingi vyenye rangi zinazodaiwa kuashiria masuala ya mapenzi ya jinsia moja.

Soma Pia: RC Chacha asitisha mkutano wa injili wenye viashiria vya mapenzi ya jinsia moja Tabora

Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu wa CPCT Mkoa wa Tabora, Mchungaji Lameck Hadhina, amesema kuwa mkutano huo una manufaa makubwa kwa wakazi wa Tabora na ni vyema ukaendelea wakati uchunguzi ukiendelea.

Wakiacha mkono wa birika kila kitu kitaenda sawa
 
Seran na joooh njooni Huku mjihakikishie, niliwaambia Bado kidogo ipo siku zinakuja wanaume mnaowasumbua na wanao wapa dezo mtawakosa.

Itafkia kipindi wanawake mtaanza kutafta wanaume wa kuwaoa Kwa tochi hata bure kabisa bila mahar wala chochote na mtawakosa.

Kwa Sasa heshimuni wanaume ni mali adim kadri siku zinavoenda mambo yanazidi kubadilika
 
Usiogope, Waislamu wanaruhusiwa kuoa wake wanne, unaweza kuolewa kama mke mdogo.
 
Tena mipira inapelekwa mashuleni kwa watoto wadogo.....bora wangepelekwa vyuoni uko
Dini za kuja na mitumbwi na mashua hizi ni shida sana. Hivi hizi nchi zinapohamasisha mapenzi ya jinsia moja kwa nchi maskini kama tanzania,zenyewe zinapata faida gani?
 
Seran na joooh njooni Huku mjihakikishie, niliwaambia Bado kidogo ipo siku zinakuja wanaume mnaowasumbua na wanao wapa dezo mtawakosa.

Itafkia kipindi wanawake mtaanza kutafta wanaume wa kuwaoa Kwa tochi hata bure kabisa bila mahar wala chochote na mtawakosa.

Kwa Sasa heshimuni wanaume ni mali adim kadri siku zinavoenda mambo yanazidi kubadilika
Kwanhiyo umeahajua humu nani kaolewa nani hajaolewa? Na hata kama hatujaolewa ndio tuolewe na mchicha mwiba?
 
Usiogope, Waislamu wanaruhusiwa kuoa wake wanne, unaweza kuolewa kama mke mdogo.
Hatimae neno litatimia mwanaume mmoja atagombaniwa na wanawake saba na wanawake wengine wengi watamlazimisha awe mume wao
 
Dini za kuja na mitumbwi na mashua hizi ni shida sana. Hivi hizi nchi zinapohamasisha mapenzi ya jinsia moja kwa nchi maskini kama tanzania,zenyewe zinapata faida gani?
Uchunguzi ndo kwanza umeanza wewe tayari unahitimisha kuwa wamehamasisha?
 
Back
Top Bottom