Umoja Wa Makanisa Ya Kipentekoste(CPCT) Tabora Yakana Tuhuma "Mapenzi Ya Jinsia Moja"

Uchunguzi ndo kwanza umeanza wewe tayari unahitimisha kuwa wamehamasisha?
ivi uchunguzi gani kama kweli mipira imegawiwa mashuleni yenye nembo ya upinde? Kazi ya uchunguzi si ni ya kwenda mashuleni tu siku moja na kutoka na ripoti? Ukichelewesha uchunguzi si mipira itafichwa ?
 
ajabu yake ni kwamba, hakuna mpira wenye upinde wala kabrasha, hakuna nembo ya ushoga, RC alikurupuka akachafua image ya watu bure, na wanasema leo ameruhusu mkutano uendelee. aibu kwake, rc ni malaya na mpenda kiki hadi imefichuka kuzaa na hakimu msaidizi wa jaji ambaye naye wanasema ana kiburi mno pale tabora kwa sababu yake.
 
RC mpuuzi sana yule, tangu siku ya kwanza katoka na matamko ya kijinga bila ushahidi nikajua natafuta Kiki tu,
Kumbe amesharuhusu?
 
ajabu yake ni kwamba, hakuna mpira wenye upinde wala kabrasha, hakuna nembo ya ushoga, RC alikurupuka akachafua image ya watu bure, na wanasema leo ameruhusu mkutano uendelee. aibu kwake, rc ni malaya na mpenda kiki hadi imefichuka kuzaa na hakimu msaidizi wa jaji ambaye naye wanasema ana kiburi mno pale tabora kwa sababu yake.
Naona Mashoga mnamshambulia kweli kweli RC 😀😀
 
Back
Top Bottom