Kaka chacha unamjua vizuri lakini ?Sii yeye Ni vyombo vya ulinzi na usalama vilivyo mshauri
Umemaliza siongezi nenoKiazi Sana tupo nae hapa Municipal anajiona TISS kuliko DGIS
Exactly kwenye hili yule jamaa ni mwehu tuMkuu wa mkoa wa Tabora Paul chacha ni mtu wa hovyo sana, ana tabia kama za Makonda. Very primitive
Hivi kwanini yule jamaa ni kizibo?Kiazi Sana tupo nae hapa Municipal anajiona TISS kuliko DGIS
Wakiacha mkono wa birika kila kitu kitaenda sawaBaraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Mkoa wa Tabora limeiomba Serikali kuruhusu kuendelea kwa mkutano wa injili unaotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 19 hadi 22, 2026 ukiongozwa na Mchungaji Dkt. Dana Morey kutoka Marekani.
Ombi hilo limekuja baada ya Serikali ya mkoa kusitisha mkutano huo kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili mchungaji huyo za kugawa mipira na vipeperushi katika shule za msingi vyenye rangi zinazodaiwa kuashiria masuala ya mapenzi ya jinsia moja.
Soma Pia: RC Chacha asitisha mkutano wa injili wenye viashiria vya mapenzi ya jinsia moja Tabora
Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu wa CPCT Mkoa wa Tabora, Mchungaji Lameck Hadhina, amesema kuwa mkutano huo una manufaa makubwa kwa wakazi wa Tabora na ni vyema ukaendelea wakati uchunguzi ukiendelea.
Seran na joooh njooni Huku mjihakikishie, niliwaambia Bado kidogo ipo siku zinakuja wanaume mnaowasumbua na wanao wapa dezo mtawakosa.Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Mkoa wa Tabora limeiomba Serikali kuruhusu kuendelea kwa mkutano wa injili unaotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 19 hadi 22, 2026 ukiongozwa na Mchungaji Dkt. Dana Morey kutoka Marekani.
Ombi hilo limekuja baada ya Serikali ya mkoa kusitisha mkutano huo kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili mchungaji huyo za kugawa mipira na vipeperushi katika shule za msingi vyenye rangi zinazodaiwa kuashiria masuala ya mapenzi ya jinsia moja.
Soma Pia: RC Chacha asitisha mkutano wa injili wenye viashiria vya mapenzi ya jinsia moja Tabora
Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu wa CPCT Mkoa wa Tabora, Mchungaji Lameck Hadhina, amesema kuwa mkutano huo una manufaa makubwa kwa wakazi wa Tabora na ni vyema ukaendelea wakati uchunguzi ukiendelea.
Sasa na hao kulikuwa na haja gani ya kugawa hzo zawad zenye rangi za upinde?!!?Kiazi Sana tupo nae hapa Municipal anajiona TISS kuliko DGIS
Usiogope, Waislamu wanaruhusiwa kuoa wake wanne, unaweza kuolewa kama mke mdogo.Seran na joooh njooni Huku mjihakikishie, niliwaambia Bado kidogo ipo siku zinakuja wanaume mnaowasumbua na wanao wapa dezo mtawakosa.
Itafkia kipindi wanawake mtaanza kutafta wanaume wa kuwaoa Kwa tochi hata bure kabisa bila mahar wala chochote na mtawakosa.
Kwa Sasa heshimuni wanaume ni mali adim kadri siku zinavoenda mambo yanazidi kubadilika
biashara ndani ya biashara za kanisa.Sasa na hao kulikuwa na haja gani ya kugawa hzo zawad zenye rangi za upinde?!!?
Tena mipira inapelekwa mashuleni kwa watoto wadogo.....bora wangepelekwa vyuoni ukobiashara ndani ya biashara za kanisa.
Dini za kuja na mitumbwi na mashua hizi ni shida sana. Hivi hizi nchi zinapohamasisha mapenzi ya jinsia moja kwa nchi maskini kama tanzania,zenyewe zinapata faida gani?Tena mipira inapelekwa mashuleni kwa watoto wadogo.....bora wangepelekwa vyuoni uko
Kwanhiyo umeahajua humu nani kaolewa nani hajaolewa? Na hata kama hatujaolewa ndio tuolewe na mchicha mwiba?Seran na joooh njooni Huku mjihakikishie, niliwaambia Bado kidogo ipo siku zinakuja wanaume mnaowasumbua na wanao wapa dezo mtawakosa.
Itafkia kipindi wanawake mtaanza kutafta wanaume wa kuwaoa Kwa tochi hata bure kabisa bila mahar wala chochote na mtawakosa.
Kwa Sasa heshimuni wanaume ni mali adim kadri siku zinavoenda mambo yanazidi kubadilika
Kwanhiyo umeahajua humu nani kaolewa nani hajaolewa? Na hata kama hatujaolewa ndio tuolewe na mchicha mwiba?
Hatimae neno litatimia mwanaume mmoja atagombaniwa na wanawake saba na wanawake wengine wengi watamlazimisha awe mume waoUsiogope, Waislamu wanaruhusiwa kuoa wake wanne, unaweza kuolewa kama mke mdogo.
Labda wanaume wenye pesaHatimae neno litatimia mwanaume mmoja atagombaniwa na wanawake saba na wanawake wengine wengi watamlazimisha awe mume wao
Uchunguzi ndo kwanza umeanza wewe tayari unahitimisha kuwa wamehamasisha?Dini za kuja na mitumbwi na mashua hizi ni shida sana. Hivi hizi nchi zinapohamasisha mapenzi ya jinsia moja kwa nchi maskini kama tanzania,zenyewe zinapata faida gani?