Umoja wa Mataifa: Janga la Chakula kutokana na vita vya Ukraine na Urusi linaweza kudumu miaka kadhaa

Umoja wa Mataifa: Janga la Chakula kutokana na vita vya Ukraine na Urusi linaweza kudumu miaka kadhaa

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Umoja wa Mataifa umesema Vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine imezidisha uhaba wa Chakula katika Mataifa masikini kutokana na kupanda kwa bei. Imeelezwa kuwa, baadhi ya Nchi zinaweza kukabiliwa na njaa ya muda mrefu ikiwa mauzo ya nje ya Ukraine hayatarejeshwa katika viwango vya awali

Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amesema Vita hiyo, ikijumuisha na athari za Mabadiliko ya TabiaNchi na mlipuko wa COVID-19 inatishia kusukuma Mamilioni ya watu kwenye uhaba wa Chakula

========

Russia's invasion of Ukraine could soon cause a global food crisis that may last for years, the UN has warned.

Secretary-General Antonio Guterres said the war had worsened food insecurity in poorer nations due to rising prices.

Some countries could face long-term famines if Ukraine's exports are not restored to pre-war levels, he added.

The conflict has cut-off supplies from Ukraine's ports, which once exported vast amounts of cooking oil as well as cereals such as maize and wheat.

This has reduced the global supply and caused the price of alternatives to soar. Global food prices are almost 30% higher than the same time last year, according to the UN.

Speaking in New York on Wednesday, Mr Guterres said the conflict - combined with the effects of climate change and the pandemic - "threatens to tip tens of millions of people over the edge into food insecurity followed by malnutrition, mass hunger and famine".

"There is enough food in our world now if we act together. But unless we solve this problem today, we face the spectre of global food shortage in the coming months," he added.

He warned that the only effective solution to the crisis was reintegrating Ukraine's food production, as well as fertiliser produced by both Russia and Belarus, back into the global market.

Source: BBC
 
UN the barking dog, UN ilifikiri kwamba Russia akiivamia Ukraine Marekani ataingilia na kuivamia Urusi na watadhulumu mali za warusi, nawaambia hivi siku Marekani akijiroga kuingia kindezi ataiponza NATO nzima
 
We upo wapi? dollar inaseleleka huko!!![emoji1]
 
Miaka 25 Urusi anawahubiria wakovu waukraine kisitokee hiki kinachoendelea leo,UN ilikua wapi?
Hata Mimi nashangaa kwanini watu wanamlaumu mrusi!hii Vita wa kulaumiwa ni zelensky na hao wahuni wa NATO.na pia ulaya wasipo angalia watakufa na njaa maana bandari na vihenge vya chakula huko Ukraine vipo chini ya jeshi la urusi na wamezuia usafirishaji.yani hakuna shehena inayoruhusiwa kutoka .
 
Haha
Ngoja niimbe
Wururu ayaya wururu ayaya titinti ntinti titinti ntinti wururu ayaya wururu ayaya....
 
UN the barking dog, UN ilifikiri kwamba Russia akiivamia Ukraine Marekani ataingilia na kuivamia Urusi na watadhulumu mali za warusi, nawaambia hivi siku Marekani akijiroga kuingia kindezi ataiponza NATO nzima
Ndo maana anabweka bweka tu
anaujua vizur mziki wa putini.🤣🤣🤣
Malekani kapigwa hadi na watalibani🤣🤣🤣ataiweza kweli urusi?
 
Nawakumbusha tu asilimia 40 ya ngano yote inayolimwa Urusi na Ukraine pekee na ngano hiyo inategemewa kulisha ulaya kwa 80% na hali inapoelekea Urusi atachukua maeneo muhimu ya Ukraine ili njaa kali iitikise Ulaya nzima. Hapo ndipo tutakapoona aliyefungia twita na aliyefungia chakula Nani ataathirika.

Miezi michache baadae njaa kali na baridi kali vitaifarakanisha ulaya
 
Ameen

Na iwe hivyo
Tupate kuwatawala hawa wazungu, tujilipe kisasi kwa kututawala utumwa umbwa hawa
 
Propaganda hawa wazungu ifike hatua wajue siyo wote mazuzu njaa ya Europe na NATO siyo njaa ya Dunia ..
 
Back
Top Bottom