Ashasembeko
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 225
- 910
- Thread starter
- #21
Duh kumpiga risasi mumpige, na bado mnamdhihaki... Aisee Hamna moyo nyieWatu wanashindwa kusoma alama za nyakati.
Si Tundu wa dereva atakae kamatwa leo, Lisu atakatwa siku ya kesi yake, ambapo wadhamini watajitoa, na sababu ameruka dhamana, ndio itakuwa point ya kumuweka ndani kiulaini hadi uchaguzi upite. Serikali wala haina haraka na kiwete huyo. So acheni kujisumbua.