Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
wala.sikuandika.kwa nia au roho mbaya, ila ndio ukweli. Tatizo wengi wenu ni wazito kufikir. Hujiulizi kwanini serikali imeweka pingamizi la wadhamini wake kujitoa? unahisi nini.? wamefanya hivyo ili kusitokee vurugu wakati wa kumkamata hapo airport au nyumbani kwake. Ila wana uhakika kuwa ataenda kusikiliza kesi zake, hapo ndipo watakapo muweka ndani na kumnyima dhamana kwa kisingizio kuwa alikimbia dhamana.Una roho nyeusi kama shetani..
Jaribuni kufikiri nje ya box jamani.