Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
wala.sikuandika.kwa nia au roho mbaya, ila ndio ukweli. Tatizo wengi wenu ni wazito kufikir. Hujiulizi kwanini serikali imeweka pingamizi la wadhamini wake kujitoa? unahisi nini.? wamefanya hivyo ili kusitokee vurugu wakati wa kumkamata hapo airport au nyumbani kwake. Ila wana uhakika kuwa ataenda kusikiliza kesi zake, hapo ndipo watakapo muweka ndani na kumnyima dhamana kwa kisingizio kuwa alikimbia dhamana.Una roho nyeusi kama shetani..
Kiwete ni akili zako mkuu,Watu wanashindwa kusoma alama za nyakati.
Si Tundu wa dereva atakae kamatwa leo, Lisu atakatwa siku ya kesi yake, ambapo wadhamini watajitoa, na sababu ameruka dhamana, ndio itakuwa point ya kumuweka ndani kiulaini hadi uchaguzi upite. Serikali wala haina haraka na kiwete huyo. So acheni kujisumbua.
Na baba ubaya naye yukoje mida hii?tupo hapa viunga vya Lumumba tangu saa 11 alfajiri.
jana tulidhani ni geresha za mitandaoni tu lakini tulivosikia Lissu yupo Addis yaani watu ni jambajamba tu hapa. hatuamini macho wala masikio yetu wenyewe yaani.
namcheki hapa Chaku macho yamekwiva kama amekula ngada vile!
Wacha ujuha alikimbia lini kesi? Nguruwe wa Lumumba mbona mko hivyo?wala.sikuandika.kwa nia au roho mbaya, ila ndio ukweli. Tatizo wengi wenu ni wazito kufikir. Hujiulizi kwanini serikali imeweka pingamizi la wadhamini wake kujitoa? unahisi nini.? wamefanya hivyo ili kusitokee vurugu wakati wa kumkamata hapo airport au nyumbani kwake. Ila wana uhakika kuwa ataenda kusikiliza kesi zake, hapo ndipo watakapo muweka ndani na kumnyima dhamana kwa kisingizio kuwa alikimbia dhamana.
Jaribuni kufikiri nje ya box jamani.
Haina haja ya matusi kaka, mbona mimi sijakutukana, kama umeshindwa kujadiliana na mtu ni bora ukae kimya coz si kila kinachoandikwa kitakufurahisha na tuna akili na maoni tofauti so kubari kutokubariana.Wacha ujuha alikimbia lini kesi? Nguruwe wa Lumumba mbona mko hivyo?View attachment 1518480
pressure... isijetokea tu cardiac arrest.Na baba ubaya naye yukoje mida hii?
Kwama LISSU ni kiwete hakika ni vile tu huna mpododo ungekuwa nawo ningekupeleka kwa mpalangeWatu wanashindwa kusoma alama za nyakati.
Si Tundu wa dereva atakae kamatwa leo, Lisu atakatwa siku ya kesi yake, ambapo wadhamini watajitoa, na sababu ameruka dhamana, ndio itakuwa point ya kumuweka ndani kiulaini hadi uchaguzi upite. Serikali wala haina haraka na kiwete huyo. So acheni kujisumbua.
Kiwete ni utopolo uliko kwenye kichwa chako coz unafikiri small. Unahisi tundu leo atakamatwa, imekula kwenu coz serikali hawana kibari cha mahakama cha kumkamata so wanasubiri kumfutia dhamani kwa sababu ya kukimbia kesi. So maandalizi yenu ya fujo jamaa wameyajua na kuyaepuka, wana msubiri mahakamani tu.Kiwete ni akili zako mkuu,
Ukiwete si wa miguu
Ukiwete ni wa akili kama zako.
Akili zako zinahitaji usaidizi wa Magongo ili ziweze kujuwa choo kiko wapi na tundu la kuwekea haja iko wapi.
CCM inawafanya watu waikiri kama wewe ,
Akili Kiwete
Wewe utakuwa mgeni huko Lumumba mbona akina kibajaji na kitoyota ambao mnawaheshimu sana ndo wana midomo michafu utadhani choo cha soko la Tandale?Haina haja ya matusi kaka, mbona mimi sijakutukana, kama umeshindwa kujadiliana na mtu ni bora ukae kimya coz si kila kinachoandikwa kitakufurahisha na tuna akili na maoni tofauti so kubari kutokubariana.
Nimeandika amekimbia kesi sababu ya wadhamini kutaka kujitoa wao wakisema jamaa ameshapona ila hataki kurudi. Na yeye mwenyewe alithibitisha hilo kwa kusema kuwa maisha yake yapo hatarini akirudi so anahitaji kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake. Kwa lugha nyepesi amekimbia hata kufikia wadhamini kuomba kujitoa. Sasa kosa lipo wapi hapo? au kichwa chako kinashindwa kuchanganua mambo? Na ndio maana niliandika kuhusu kukamatwa na sio ugonjwa wake, coz wengi wenu akili zenu fupi mnahisi tundu atakamatwa airport. Serikali inajua kabisa ikifanya itakuwa imefanya kosa kubwa sababu hakuna kibari cha mahakama cha kukamatwa kwake. Njia pekee ya kumshika ni katika kesi zake tu kwa kumfutia dhamana. Think deep kichwa chwa panzi wewe.
Una semaje wewe mbuzi pori unamdharau kamanda unasema kiwete uwongozi umekaa kimya na sisi tukijibu kwa dharau kama hizo na mwenyekiti wako tukamletea dharau basi uwongozi nao ukae kimya wasitafungie
Kwama LISSU ni kiwete hakika ni vile tu huna mpododo ungekuwa nawo ningekupeleka kwa mpalange
Hujafa hujaumbikaWatu wanashindwa kusoma alama za nyakati.
Si Tundu wa dereva atakae kamatwa leo, Lisu atakatwa siku ya kesi yake, ambapo wadhamini watajitoa, na sababu ameruka dhamana, ndio itakuwa point ya kumuweka ndani kiulaini hadi uchaguzi upite. Serikali wala haina haraka na kiwete huyo. So acheni kujisumbua.
hivi unaakili kweli toka lini lissu akakimbia kesi? hata mkienda wanachama wote nchi nzima hamuwezi kumshinda lissu mahakamani sasa akimbie nini?Kiwete ni utopolo uliko kwenye kichwa chako coz unafikiri small. Unahisi tundu leo atakamatwa, imekula kwenu coz serikali hawana kibari cha mahakama cha kumkamata so wanasubiri kumfutia dhamani kwa sababu ya kukimbia kesi. So maandalizi yenu ya fujo jamaa wameyajua na kuyaepuka, wana msubiri mahakamani tu.
hao ni wao sio mimi. Na si kila anaye jadili kitu hapa akiwa opposite na mawazo yako si ccm au cdm. Sinaga akili za kushikiwa kama wafuasi wengi wa vyama vyenu vya ccm, cuf, cdm act, nk. Nafikiri kwa akili zangu. Nimekupa maoni yangu kwa jinsi ninavyoona mimi. Wengi hamjiulizi kwa nini serikali imeweka pingamizi la wadhamini wa lisu kujitoa? hawataki kuingia kwenye mtego wa vurugu mkuu. Wanataka wamuweke ndani kwa sheria tena kwa kumnyima dhamana kitu ambacho cdm hawawezi kukasirika ila watakwenda kisheria na ndio muda unaporushwa hadi uchaguzi unaisha. Nyie mbona mnashindwa kufikiri jamani?Wewe utakuwa mgeni huko Lumumba mbona akina kibajaji na kitoyota ambao mnawaheshimu sana ndo wana midomo michafu utadhani choo cha soko la Tandale?
Embu kaa kimya kwanza hujui lolote.Watu wanashindwa kusoma alama za nyakati.
Si Tundu wa dereva atakae kamatwa leo, Lisu atakatwa siku ya kesi yake, ambapo wadhamini watajitoa, na sababu ameruka dhamana, ndio itakuwa point ya kumuweka ndani kiulaini hadi uchaguzi upite. Serikali wala haina haraka na kiwete huyo. So acheni kujisumbua.
Kama hajakimbia kwanini wadhamini wake wanataka serikali imkamate na wao kujitoa?hivi unaakili kweli toka lini lissu akakimbia kesi? hata mkienda wanachama wote nchi nzima hamuwezi kumshinda lissu mahakamani sasa akimbie nini?
Mlivyodhania sio ilivyokuwa Mungu ni WA wote na mwisho WA maji ni tope.Kama hajakimbia kwanini wadhamini wake wanataka serikali imkamate na wao kujitoa?
Usiandike kwa ushabiki, fuatilia vitu vilivyo.
Haya wewe mwenye akili niambie kwanini wadhamini wanataka kukitoa na kuiomba serikali imkamate?
Hakuna asiyejua lilomkuta Lisu na silishabikii kama binadamu. Ila baada ya kumaliza matibabu hakurudi kuendelea na kesi zake, ndio tafsiri ya kukimbia kesi inapokuja.
Hahahha... Mabwana zake Lisu watakuwa wamepata aibu kuona democrasia iliyotamalaki!Watu wanashindwa kusoma alama za nyakati.
Si Tundu wa dereva atakae kamatwa leo, Lisu atakatwa siku ya kesi yake, ambapo wadhamini watajitoa, na sababu ameruka dhamana, ndio itakuwa point ya kumuweka ndani kiulaini hadi uchaguzi upite. Serikali wala haina haraka na kiwete huyo. So acheni kujisumbua.
Wewe ni mfu kama yalivyo mawazo yakoWatu wanashindwa kusoma alama za nyakati.
Si Tundu wa dereva atakae kamatwa leo, Lisu atakatwa siku ya kesi yake, ambapo wadhamini watajitoa, na sababu ameruka dhamana, ndio itakuwa point ya kumuweka ndani kiulaini hadi uchaguzi upite. Serikali wala haina haraka na kiwete huyo. So acheni kujisumbua.
Mambo mengine unaweza ukashabikia lakini si ukiwete na umauti,wanasema hujafa hujaumbika na hakuna haijuaye kesho.Watu wanashindwa kusoma alama za nyakati.