PostGE2025 Umoja wa Mataifa: Tangazo la Tanzania kukataza maandamano liondolewe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Shirika la Umoja wa Taifa Tanzania Ofisi ya Human Rights imetoa taarifa ikisisitiza wajibu wa mamlaka kulinda haki za msingi za binadamu, ikiwemo uhuru wa kujieleza, kukusanyika kwa amani na kushiriki katika masuala ya umma, kwa mujibu wa sheria za kimataifa

Kwenye taarifa yao wametaka vyombo vya usalama Tanzania kuondoa zuio la maandamano ambalo liliwekwa na Jeshi La Polisi

photo_2025-12-08_00-27-26.jpg

photo_2025-12-08_00-27-33.jpg
photo_2025-12-08_00-27-45.jpg

photo_2025-12-08_00-27-43.jpg
photo_2025-12-08_00-27-38.jpg
photo_2025-12-08_00-27-36.jpg
photo_2025-12-08_00-27-33.jpg

photo_2025-12-08_00-27-47.jpg
 
All eyes on us.

Hii Nina uhakika bi kizimakazi inamletea msongo na asipokua makini hali inaweza kuwa mbaya sana.

Kufumba na kufumbua Vijana wamebadilika kama siyo watanzania na yote kisa jeuri na kujiona mkuu hawapokei ushauri.

Stress zikizidi zinapelekea kiharusi.
 
Ulimwengu wote macho na masikio ni Tanzania 🇹🇿 hiyo December 09
Wananchi&Dunia vs Dola

Hapo pana mtego mkali sana
Dola inangoja raia wafanye chochote wapate sababu ya kufanya cha MO29
Dunia inangoja Dola ifanye chochote ili Ipate pakuanzia kutokea MO29

WACHA TUONE LEO NI 08 DEC
 
Tumefika hapa kwasababu fazafaka haambiliki, lije jua au inyeshe mvua!
 
Dunia nzima macho yako 9th December kwa sasa!!

Acha wakaze fuvu tu ila yajayo yanafurahisha!!
Wakati unaandika huu uharo ingependeza sana na wewe ukajitokeza hio tarehe
Unajificha nyuma ya techno na jina feki kisha unachochea nyodo?
Paka nyau.
 
Ulimwengu wote macho na masikio ni Tanzania 🇹🇿 hiyo December 09
Wananchi&Dunia vs Dola

Hapo pana mtego mkali sana
Dola inangoja raia wafanye chochote wapate sababu ya kufanya cha MO29
Dunia inangoja Dola ifanye chochote ili Ipate pakuanzia kutokea MO29

WACHA TUONE LEO NI 08 DEC
24 hours to go..
 
Wakati unaandika huu uharo ingependeza sana na wewe ukajitokeza hio tarehe
Unajificha nyuma ya techno na jina feki kisha unachochea nyodo?
Paka nyau.
Wote wanaoandika humu unawajua? kwamba hawataandamana au unajitoa ufahamu.
 
Wakati unaandika huu uharo ingependeza sana na wewe ukajitokeza hio tarehe
Unajificha nyuma ya techno na jina feki kisha unachochea nyodo?
Paka nyau.
Jina lako halisi wewe liko wapi?

Mbona wote tupo nyuma ya vimeo vyetu hapa na kuhusu kesho usijali,wanazuoni njaa hamtoamini!😀
 
Mimi sio ktk wale wezi wanaotaka kuvunja maduka ya raia na kuchoma miundo mbinu inayosaidia watanzania maskini.
Wewe huna moyo wa kutoka kesho.. kazi kuropoka tu .

Nambie utakuwa wapi kesho nije nikuonyeshe nini maana ya uzalendo
 
Wakuu,

Shirika la Umoja wa Taifa Tanzania Ofisi ya Human Rights imetoa taarifa ikisisitiza wajibu wa mamlaka kulinda haki za msingi za binadamu, ikiwemo uhuru wa kujieleza, kukusanyika kwa amani na kushiriki katika masuala ya umma, kwa mujibu wa sheria za kimataifa

Kwenye taarifa yao wametaka vyombo vya usalama Tanzania kuondoa zuio la maandamano ambalo liliwekwa na Jeshi La Polisi

View attachment 3512833

View attachment 3512832 View attachment 3512828

View attachment 3512829View attachment 3512830View attachment 3512831View attachment 3512832
View attachment 3512827
Sawa sawa
 
Mimi sio ktk wale wezi wanaotaka kuvunja maduka ya raia na kuchoma miundo mbinu inayosaidia watanzania maskini.
Wewe huna moyo wa kutoka kesho.. kazi kuropoka tu .

Nambie utakuwa wapi kesho nije nikuonyeshe nini maana ya uzalendo
Acha mikwara mbuzi wewe ng'ombe. Kama na wewe unajiamini, weka anuani yako hapa ya makazi ili kesho uje utembelewe hapo hapo nyumbani kwako.
 
Back
Top Bottom