PostGE2025 Umoja wa Mataifa: Tangazo la Tanzania kukataza maandamano liondolewe

PostGE2025 Umoja wa Mataifa: Tangazo la Tanzania kukataza maandamano liondolewe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Acha mikwara mbuzi wewe ng'ombe. Kama na wewe unajiamini, weka anuani yako hapa ya makazi ili kesho uje utembelewe hapo hapo nyumbani kwako.
Teh teh teh
Sasa umeona kuandama huwezi sababu unaogopa kufa , Sasa unatishia maisha ya wazalendo.
Acheni bange vijana.
Huo umaskini hauwezi kutatuliwa na Rais au serikali. Fanya kazi.
Acha kulalamika km mjamzito aliekosa huduma.
Polepole alikua kada mkubwa wa CCM leo njaa imemsababisha kuropoka ovyo km muimba mchiriku.
Sasa na wewe jichanganye utoke kesho ukafanye fujo uone.

We si kidume cha nguvu?
Njoo tu mitaani halafu jifanye km unajikuna tu uone.

Tutakusoma humu wiki ijayo.
Marehemu Tate alikuwa Mcheshi. 🤣
 
Sawa limeondolewa njooni muandamane nyumbu nyie
Teh teh teh
Aandamane nani?
Hawa wote waimba michiriku na wanywa viroba wana jeuri hio.?
Mavi ya mbuzi.
Wanakutana vijiweni wanakula bange . Kazi hawana halafu wanalaumu wenye pesa zao mitaani.

Paka shume wote hawa.
Kazi kusubiri viporo kwenye nyumba ya shemeji zao.
 
Mimi natamani sana nyumbu wezi na waharibifu wa mali waandamane maana nafurahia sana nikiona hizo nyumbu zinavyochapwa risasi
 
Ulimwengu wote macho na masikio ni Tanzania 🇹🇿 hiyo December 09
Wananchi&Dunia vs Dola

Hapo pana mtego mkali sana
Dola inangoja raia wafanye chochote wapate sababu ya kufanya cha MO29
Dunia inangoja Dola ifanye chochote ili Ipate pakuanzia kutokea MO29

WACHA TUONE LEO NI 08 DEC
Ulimwengu upi unaojali Tanzania?
Hapa kwa taarifa yako wazungu wanatamani sana Tumalizane waje kuchukua mali zote kwa raha zao.
Zitarudi zile siku za watanzania kuvishwa Bukta za Kaki na shati nyeupe kisha nyapala la kizungu liko juu ya farasi na mjeledi.

Endeleeni tu kuombea nchi hii balaa.
Mtajifunza kiingereza kwa mijeledi
 
Mzungu ashachukua,mali ngapi bila hayo maandamano wakati ile mikataba ya ovyo ovyo ya madini inaingiwa kulikuwa na maandamano gani? Mzungu hawezi kusubiri upigane ndio achukue hizo mali kwa,viongozi wenyewe corrupt hawa

Mali zonazochukuliwa baada ya vurugu ni kwa viongozi wazalendo kama Libya ya Gaddafi huko

Kwa hawa walafi haina haja ya vurugu wala vita.
 
Wakati unaandika huu uharo ingependeza sana na wewe ukajitokeza hio tarehe
Unajificha nyuma ya techno na jina feki kisha unachochea nyodo?
Paka nyau.
Wewe kapigane na TEC ambao wanakudharau tuu, maandamano hayataki wadini kama wewe,kaa mbali
 
Mzungu ashachukua,mali ngapi bila hayo maandamano wakati ile mikataba ya ovyo ovyo ya madini inaingiwa kulikuwa na maandamano gani? Mzungu hawezi kusubiri upigane ndio achukue hizo mali kwa,viongozi wenyewe corrupt hawa

Mali zonazochukuliwa baada ya vurugu ni kwa viongozi wazalendo kama Libya ya Gaddafi huko

Kwa hawa walafi haina haja ya vurugu wala vita.
Hilo unalosema ni sahihi lkn kwa asilimia flani
Tanzania bado iko mbali sana na uongozi bora lkn bado ni nchi huru na ina serikali
Leo ikitokea vita ya sisi kwa sisi wazungu hawatoacha kuja kwa kasi kubwa sana kuimaliza kabisa hii nchi

Leo wanaiba kweli sababu wanakula na viongozi lkn siku tukianza kuuawana hawatohitaji kuficha wanachoiba
Watabeba almasi na dhahabu mbele yetu
Bila hofu yyt. Na atakaefungua mdomo atakula chuma mbele ya watu. Km wanavyofanya huko Libya na kwengine.

Tazama Congo
Hakuna mtu ana amani.
Na wazungu wanachota almasi na madini mengine kwa kasi ya ajabu. Na wanalindwa na hilo hilo Jeshi la Congo.

Hii nchi wazungu wanaitaka miaka mingi sana.
Sasa tujichanganye tuone balaa inayokuja.
 
Kalamu siyo mtoto ni mzee wa hovyo, kalamu ana zaidi ya miaka 61 ila anahamasisha ujinga humu
Mzee wapi! Akili mbovu namna hio uzee aupate wapi?
Alidai leo anatoka. Haya yuko wapi sasa.
 
Mzee wapi! Akili mbovu namna hio uzee aupate wapi?
Alidai leo anatoka. Haya yuko wapi sasa.
Unaambiwa kasafisha uvungu tangu juzi leo kaingia kujificha uvunguni tangu alfajiri hajatoka
 
Back
Top Bottom