Teh teh tehAcha mikwara mbuzi wewe ng'ombe. Kama na wewe unajiamini, weka anuani yako hapa ya makazi ili kesho uje utembelewe hapo hapo nyumbani kwako.
Teh teh tehSawa limeondolewa njooni muandamane nyumbu nyie
Mimi natamani sana nyumbu wezi na waharibifu wa mali waandamane maana nafurahia sana nikiona hizo nyumbu zinavyochapwa risasiTeh teh teh
Aandamane nani?
Hawa wote waimba michiriku na wanywa viroba wana jeuri hio.?
Mavi ya mbuzi.
Wanakutana vijiweni wanakula bange . Kazi hawana halafu wanalaumu wenye pesa zao mitaani.
Paka shume wote hawa.
Kazi kusubiri viporo kwenye nyumba ya shemeji zao.
Ulimwengu upi unaojali Tanzania?Ulimwengu wote macho na masikio ni Tanzania 🇹🇿 hiyo December 09
Wananchi&Dunia vs Dola
Hapo pana mtego mkali sana
Dola inangoja raia wafanye chochote wapate sababu ya kufanya cha MO29
Dunia inangoja Dola ifanye chochote ili Ipate pakuanzia kutokea MO29
WACHA TUONE LEO NI 08 DEC
Mzungu ashachukua,mali ngapi bila hayo maandamano wakati ile mikataba ya ovyo ovyo ya madini inaingiwa kulikuwa na maandamano gani? Mzungu hawezi kusubiri upigane ndio achukue hizo mali kwa,viongozi wenyewe corrupt hawaUlimwengu upi unaojali Tanzania?
Hapa kwa taarifa yako wazungu wanatamani sana Tumalizane waje kuchukua mali zote kwa raha zao.
Zitarudi zile siku za watanzania kuvishwa Bukta za Kaki na shati nyeupe kisha nyapala la kizungu liko juu ya farasi na mjeledi.
Endeleeni tu kuombea nchi hii balaa.
Mtajifunza kiingereza kwa mijeledi
Wewe kapigane na TEC ambao wanakudharau tuu, maandamano hayataki wadini kama wewe,kaa mbaliWakati unaandika huu uharo ingependeza sana na wewe ukajitokeza hio tarehe
Unajificha nyuma ya techno na jina feki kisha unachochea nyodo?
Paka nyau.
Hilo unalosema ni sahihi lkn kwa asilimia flaniMzungu ashachukua,mali ngapi bila hayo maandamano wakati ile mikataba ya ovyo ovyo ya madini inaingiwa kulikuwa na maandamano gani? Mzungu hawezi kusubiri upigane ndio achukue hizo mali kwa,viongozi wenyewe corrupt hawa
Mali zonazochukuliwa baada ya vurugu ni kwa viongozi wazalendo kama Libya ya Gaddafi huko
Kwa hawa walafi haina haja ya vurugu wala vita.
Kalamu siyo mtoto ni mzee wa hovyo, kalamu ana zaidi ya miaka 61 ila anahamasisha ujinga humu
Mzee wapi! Akili mbovu namna hio uzee aupate wapi?Kalamu siyo mtoto ni mzee wa hovyo, kalamu ana zaidi ya miaka 61 ila anahamasisha ujinga humu
Unaambiwa kasafisha uvungu tangu juzi leo kaingia kujificha uvunguni tangu alfajiri hajatokaMzee wapi! Akili mbovu namna hio uzee aupate wapi?
Alidai leo anatoka. Haya yuko wapi sasa.