Umoja wa Ulaya (EU) walaani tukio la kushambuliwa Mbowe jijini Dodoma

Umoja wa Ulaya (EU) walaani tukio la kushambuliwa Mbowe jijini Dodoma

Ipo siku Tanzania tutakuwa kama china.tutaacha kupangiwa cha kufanya na hawa vilopolopo.yani kama kwao hawana matatizo vile.proud to be JPM and Tanzania
 
EU hawa hawa naowajua?,,jamaa wajinga sana,,,bora angesema ji ping au putin,,
Wazungu sio wa kuamini,,ni wachochezi
 
Kwani huyu kashambuliwa au kaanguka kwenye ngazi baada kupiga moja mbili nadhani EU wangefanya uchunguzi kabla kutoa haya matamshi.
 
Nawaona maccm yanafurushwa kutoka madarakani
EU WALAANI KUSHAMBULIWA KWA FREEMAN MBOWE

Viongozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Tanzania watoa kauli ya Pamoja juu ya shambulio dhidi ya Freeman Mbowe "Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa upinzani katika Bunge la Tanzania Freeman Aikaeli Mbowe,

=======

Joint Statement by the European Union Heads of Mission in Tanzania on the attack against Mr Freeman Mbowe, national Chairman of CHADEMA and leader of the opposition in the Tanzanian Parliament.

“Mr Freeman Mbowe, national Chairman of CHADEMA and leader of the opposition in the Tanzanian Parliament, was attacked by unknown assailants on Tuesday 9 June while returning home in Dodoma. Mr Mbowe suffered several injuries and is receiving treatment at the hospital.

The European Union Heads of Mission in Tanzania express their sympathy to Mr. Freeman Mbowe and wish him a speedy recovery.

Every attack against a representative of the institutions of the United Republic of Tanzania, whatever his/her political affiliation, is an attack against democracy. With general elections only a few months ahead of us it is essential to let democracy take its course and ensure all conditions to full participation in credible and transparent elections.

The European Union Heads of Mission trust that the authorities will successfully investigate and bring the perpetrators to justice.”

Joint Statement by the European Union Heads of Mission in Tanzania on the attack against Hon. Freeman Mbowe
 
Sikio la kufa halina ubani
Joint Statement by the European Union Heads of Mission in Tanzania on the attack against Hon. Freeman Mbowe
Dar es Salaam, 09/06/2020 - 17:19, UNIQUE ID: 200609_18
Local Statements

Joint Statement by the European Union Heads of Mission in Tanzania on the attack against Mr Freeman Mbowe, national Chairman of CHADEMA and leader of the opposition in the Tanzanian Parliament.

Mr Freeman Mbowe, national Chairman of CHADEMA and leader of the opposition in the Tanzanian Parliament, was attacked by unknown assailants on Tuesday 9 June while returning home in Dodoma. Mr Mbowe suffered several injuries and is receiving treatment at the hospital.
The European Union Heads of Mission in Tanzania express their sympathy to Mr. Freeman Mbowe and wish him a speedy recovery.

Every attack against a representative of the institutions of the United Republic of Tanzania, whatever his/her political affiliation, is an attack against democracy. With general elections only a few months ahead of us it is essential to let democracy take its course and ensure all conditions to full participation in credible and transparent elections.

The European Union Heads of Mission trust that the authorities will successfully investigate and bring the perpetrators to justice.

Source : Joint Statement by the European Union Heads of Mission in Tanzania on the attack against Hon. Freeman Mbowe
 
Hiyo inaitwa jino kwa meno
Kwa sababu serikali imeshafanya wanachadeema ni third class kwa nchi hii, kuna first class watakuja kuumia bila hata kuwa na uhusiano na udhalimu huu.

Hii ndio principal ya ubaguzi. South africa enzi za ubaguzi kumnyanya mweusi ilikuwa sio issue kwa wazungu issue ilikuwa kumdhuru mtu mzungu lakini hata wazungu wengine ambao ni easy target walikuwa wanapata madhara wakati hawana hata na mahusiano na siasa.

Kwa kuwa sasa kumdhuru mtu wa chadema sio issue kwa serikali hii issue ni kumdhuru mwanaccm kuna wana ccm ambao hawana hata na mpango na siasa za fitina wanaweza kudhurika kama ilivyo kuwa kwa makaburu. Naona siku hizi Tanzania ukimnyanya mwanachadema wewe ni hero mbele ya serikali.
 
Nimefurahi
Jumuiya ya Ulaya yaungana na Uingereza zatoa tamko la kuonesha masikitiko na kuwa ina imani serikali ya Tanzania itafanya kila linalo wezekana kufanya uchunguzi wa tukio hili la Mh. Freeman Aikael Mbowe kushambuliwa na watu wasiojulikana mjini Dodoma, Tanzania ili wapatikane na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria ili haki ipatikane.
 
Mwisho wenu umetimia
Penye ukweli uongo hujitenga. Ni hapo ukweli wa shambulio la Mbowe saa 7 ya usiku, kuamkia leo, utapotolewa, ndipo na la Lissu kuwa bayana. Baada ya tukio la Mbowe, taarifa za viongozi wake, kwa umma, zikawa za kisiasa, kumbe nyuma yake kuna ukweli tofauti - ulevi na ulijari. Subira yavuta heri.
 
Back
Top Bottom