Umoja wa Ulaya (EU) walaani tukio la kushambuliwa Mbowe jijini Dodoma

WAAMBIE EU LIJUAKALI KASEMA AMEANGUKA KWENYE NGAZI SHAURI YA ULEVI
 
wamlaani huyu mwamba,chezea konki wewe.
 

Attachments

  • Screenshot_20200609-220305.png
    111.2 KB · Views: 1
Hapo february 2020 balozi wa EU alipokutana na Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli na Mh. Balozi Manfredo Fanty mwakilishi wa EU Tanzania ambapo alionesha matumaini makubwa kama anavyosema hapa kuhusu mpango wa fungu la msaada kwa Tanzania unaoisha 2020 na mzunguko mwingine mpya wa miaka 7 ya msaada kwa Tanzania kwa kipindi cha 2021 -2027 :
 
Hivi, kama ni kweli Mzee alikuwa kalewa, na haya matamko ya white hair itakuwaje ikija kubainika?

Chadema ndo watalipia na kuisafisha nchiii ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…