Umoja wa Ulaya (EU) yagoma kuiomba msamaha Ukraine kwa kuvujisha taarifa za vifo vya askari wake

Yes mkuu ila unapoambiwa kitu nawe fanya utafiti maana any story ina two sides, soma hii Mozambique imeshapeleka meli moja Europe ikiwa na LNG, na sasa inajaza ya pili, Ukraine pamoja ipo vitani bado inategemewa kwa kutoa msaada wa chakula!,Tanzania ipo peace bado tunaagiza ngano kutoka Ukraine
BEI BEI ???!
Kwanza acheni kuvitaja vinchi vyenu vya hovyo.. Hata kama tunasema Ukraine ni mdogo sana kwa Russia lakin kuvitaja vinchi vyenu kubalance hali ya Ukraine ni kuikosea heahima ukraine.

Ukraine alikuwa nazalisha Gigawatts za umeme ukalinganisha na kanchi kanakozalisha MW 200 ni kuiosea adabu Ukrainia.. Tutafute mfano mwingine!!...

Hata kama Zele ni comedian hafai kulinganishwa akili na kina Kagame cjui...

Twendeni kimataifa zaidi
 
I tried kukusoma zaidi ya 10× to understood ulikua una maanisha nini,nimeshindwa but it's ok shame on me!
 
Back
Top Bottom