Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HakikaHata mimi namtakia ushindi mwema mh. Lissu. Naamini ushindi wa Lissu ni mwanzo wa ukombozi wa Nchi hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaHata mimi namtakia ushindi mwema mh. Lissu. Naamini ushindi wa Lissu ni mwanzo wa ukombozi wa Nchi hii.
Hata Shtekedi soon atatoa salamu za kheri katika uchaguzi wa ndani.Bado umoja wa East Afrika akina Ruto na Kagame
Leta za kibustani basiSiasa za kishamba sana hizi
HatersSahihi amtakie kwasababu huyo ndo mwandishi wao vitabu juu ya maswala ya siasa za afrika mashariki na kati
ndo mkimbizi pekee aliyeajiliwa ulaya na kulipwa mshahara sio allowance kama akina ngurumo wa SAUTi KUbwa
ukiona mtu anaogopwa na jasusi na mwanamajumui duniani General ulimwengu juaga huyo mtu shughuli yake sio ya mchezo ni ngumuHaters
Team Lissu wanaweweseka.Siasa za kishamba sana hizi