Magu alioagiza shambulio dhidi ya Tundu Lissu lichunguzwe haraka mpaka amekufa hakuna lolote na aliyekuwa IGP Sirro alipiga marufuku kuulizwa suala hilo.
Ze Komedey
Hawa umoja wa ulaya inatakiwa wampige marufuku huyu kizimkazi kusafiri kwenda Nchi wanachama wa umoja wa ulaya vilevile wazuie watalii wao kuitembelea tz maana amani hakuna