Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mmeanza.....hahahaShujaa mbona alikua haendi kwao mbona hatukufa njaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeanza.....hahahaShujaa mbona alikua haendi kwao mbona hatukufa njaa?
Ze comedy kweli kweli. Ngoja mama tuone na 4T zakeMagu alioagiza shambulio dhidi ya Tundu Lissu lichunguzwe haraka mpaka amekufa hakuna lolote na aliyekuwa IGP Sirro alipiga marufuku kuulizwa suala hilo.
Ze Komedey
Madaraka yanatafutwa hadi kwa Damu za watuHizi ni aibu za kujutakia
Ilikuwa ni suala la muda tu, tungekuwa tumeshanasa. Si unaona yaliyomkuta Mugabe baada ya kuwafukuza mabeberu?Shujaa mbona alikua haendi kwao mbona hatukufa njaa?
Wachina ni hopelessMarafiki zetu Wachina mbona kimya - au wao halijawagusa?
OkHawa umoja wa ulaya inatakiwa wampige marufuku huyu kizimkazi kusafiri kwenda Nchi wanachama wa umoja wa ulaya vilevile wazuie watalii wao kuitembelea tz maana amani hakuna
Unajiteka halafu unajimwagia tindikali unajidedisha au?Tanzania pia ni wabobezi kwenye kujiteka, duu hili jibu la watu kujiteka na drama za kujiteka ni fikirishi mno linahitaji mjadala wa kitaifa
Unajitekenya na kuharisha then unaiambia dunia kuna kipindupindu,(kimpetu petu), a.k.a. drama ndiyo maana napenda kusoma reverse engineeringUnajiteka halafu unajimwagia tindikali unajidedisha au?
Yani bia zao mnakunywa halafu wakiomba mzigo unasema haiwahusu?NDO MAANA TUNAWAPENDA CHINA. HAWANA KIHELE HELE CHA KUINGILIA MAMBO YASIYO WAHUSU.