Umoja wa Ulaya yaiamuru vikosi vya Rwanda na M23 kuondoka DRC Haraka bila masharti yoyote.

Ni aibu jeshi la Rwanda kuwazidi nguvu makubwa jinga makubwa congo,Sa,Burundi na Tz
Katika afrika nzima hakuna watu strong kuzidi wakongoman hata Tyson Ni chimbuko la pale, so usiwaite kubwa jinga Bali mfumo wa nchi umeingiliwa na ma vairas tu kupelekea hali ile. Wanaoishi kigoma na kubahatika kukaa na wakongoman wanaelewa vizuri namna walivyo na nguvu mbwa wale.
 
Asikudanye mtu! Hayo ni Matamko tu. UN wametamka hakuna kilichotokea,US walitamka lakini hakuna kilichotokea! AU sijui nao walitamkaje!
Ni jukumu la serikali ya Congo kukaa meza moja na Waasi wakiwemo na Wanajeshi wake wazungumze ili kumaliza vita.
 
Hayo ni makenge.

Yameshindwa kuisaidia Ukraine.
 
Asikudanye mtu! Hayo ni Matamko tu. UN wametamka hakuna kilichotokea,US walitamka lakini hakuna kilichotokea! AU sijui nao walitamkaje!
Ni jukumu la serikali ya Congo kukaa meza moja na Waasi wakiwemo na Wanajeshi wake wazungumze ili kumaliza vita.
Congo hamna waasi,m23 ni wanyarwanda,siku pk akiondoka madarakani,m23 ndio watajua kwao ni wapi
 
Waende wapi hao M23?
 
Ni aibu jeshi la Rwanda kuwazidi nguvu makubwa jinga makubwa congo,Sa,Burundi na Tz
Hawajawazidi nguvu hata kidogo maana hawajapelekwa kupigana bali kulinda amani, hayo ni mambo mawili tofauti kwenye medani za kivita
 
Sasa naanza kumuelewa Felix shiteked kwa Nini aligomea kuhudhulia vikao vya usuruhishi vya SADC na kile kilichofanyika Ethiopia, jamaa alishajua kinachoeenda kujadiliwa huko ni ngojera ambazo hazina msaada wowote kwa nchi yake, viongozi wa Africa unafiki mtupu umewajaa.

Mtu mmoja atoke aniambie hapa ule mkutano wa SADC hapa dar ulibadilisha Nini ktk mgogoro husika? Ktk kile kikao kiongozi Gani aliekuwa hafahamu kwamba Rwanda imeingiza jeshi Congo? Kagame alikemewa hata tone??

That's why Felix akaona kuliko kupoteza muda kwenye vikao visivyo na kichwa Wala miguu Bora aende kutafta utatuzi wa jambo lake kwa watu wanaojielewa na kutambua thamani ya binadamu. Kwa Hilo nampongeza Felix ziara Moja tu imeanza kuzaa matunda.

Kuna jamaa humu jamvini ana hashtag yake ya "mungu wabariki wazungu" hakika sasa naanza kumuelewa. Sisi watu weusi hovyo sana.
 
Congo hamna waasi,m23 ni wanyarwanda,siku pk akiondoka madarakani,m23 ndio watajua kwao ni wapi
M23 sio wanyarwanda bali wanazungumza kinyarwanda, na mleta mada anongea kutoka kichwani kwake na sio kutoka ktk mkutano wa UN. UN imetoa tamko la kuwa Rwanda iondoe majeshi yake DR na M23 waachie maeneo wanayoshikilia, na wote wametakiwa kurudi kwenye meza ya mazungumzo.
 
Wazungu lao moja haaangushani ili mradi kuna manufaa kwa Mzungu mwenzao basi watazunguuukaa lakini wanamsapoti mlango wa nyuma
Hakika tuendelee na kujadili unafiki wa kidunia ukiongozwa na wazungu.Ila tusisahau la kongo Kinshasa.
 
Sio kweli. Sabau ya vita ni wizi wa madini Kongo ambao unafanywa na Ulaya kwa kuwatumia Rwanda na Uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…