Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
AU hivi ipo kwa faida gani!au kuwalinda tu viongozi wa afrika wasipinduliwe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika afrika nzima hakuna watu strong kuzidi wakongoman hata Tyson Ni chimbuko la pale, so usiwaite kubwa jinga Bali mfumo wa nchi umeingiliwa na ma vairas tu kupelekea hali ile. Wanaoishi kigoma na kubahatika kukaa na wakongoman wanaelewa vizuri namna walivyo na nguvu mbwa wale.Ni aibu jeshi la Rwanda kuwazidi nguvu makubwa jinga makubwa congo,Sa,Burundi na Tz
Hayo ni makenge.Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la maziwa Makuu, hivyo basi kwa azimio na kauli ya pamoja jana tarehe 21.2 .2025 kikao kilitaka Rwanda na wanamgambo wa M23 waondoke nchini DRC bila masharti yoyote.
Congo hamna waasi,m23 ni wanyarwanda,siku pk akiondoka madarakani,m23 ndio watajua kwao ni wapiAsikudanye mtu! Hayo ni Matamko tu. UN wametamka hakuna kilichotokea,US walitamka lakini hakuna kilichotokea! AU sijui nao walitamkaje!
Ni jukumu la serikali ya Congo kukaa meza moja na Waasi wakiwemo na Wanajeshi wake wazungumze ili kumaliza vita.
Mkuu endelea kusubiri PK atoke madarakani! Sijui ni leo au kesho kutwa.Congo hamna waasi,m23 ni wanyarwanda,siku pk akiondoka madarakani,m23 ndio watajua kwao ni wapi
Waende wapi hao M23?Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la maziwa Makuu, hivyo basi kwa azimio na kauli ya pamoja jana tarehe 21.2 .2025 kikao kilitaka Rwanda na wanamgambo wa M23 waondoke nchini DRC bila masharti yoyote.
Waache silaha waende walipotokaWaende wapi hao M23?
Hawajawazidi nguvu hata kidogo maana hawajapelekwa kupigana bali kulinda amani, hayo ni mambo mawili tofauti kwenye medani za kivitaNi aibu jeshi la Rwanda kuwazidi nguvu makubwa jinga makubwa congo,Sa,Burundi na Tz
Sasa naanza kumuelewa Felix shiteked kwa Nini aligomea kuhudhulia vikao vya usuruhishi vya SADC na kile kilichofanyika Ethiopia, jamaa alishajua kinachoeenda kujadiliwa huko ni ngojera ambazo hazina msaada wowote kwa nchi yake, viongozi wa Africa unafiki mtupu umewajaa.Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la maziwa Makuu, hivyo basi kwa azimio na kauli ya pamoja jana tarehe 21.2 .2025 kikao kilitaka Rwanda na wanamgambo wa M23 waondoke nchini DRC bila masharti yoyote.
Umoja wenyewe hoi hoi maana kuna U AFRO na FRANCO hakuna umoja Ufaransa na wengine ulaya wanapenyezewa kila AgendaAU hivi ipo kwa faida gani!au kuwalinda tu viongozi wa afrika wasipinduliwe!
M23 sio wanyarwanda bali wanazungumza kinyarwanda, na mleta mada anongea kutoka kichwani kwake na sio kutoka ktk mkutano wa UN. UN imetoa tamko la kuwa Rwanda iondoe majeshi yake DR na M23 waachie maeneo wanayoshikilia, na wote wametakiwa kurudi kwenye meza ya mazungumzo.Congo hamna waasi,m23 ni wanyarwanda,siku pk akiondoka madarakani,m23 ndio watajua kwao ni wapi
Huwajui wazungu mkuu,au unawajua ila unapuuza.Bora jumuiya za kimataifa ziingilie maana SADC na nchi zake washirika hawana mabavu yeyote they are just toothless
Watutsi wanaamini pk ataishi hapa duniani milele!Mkuu endelea kusubiri PK atoke madarakani! Sijui ni leo au kesho kutwa.
Wazungu lao moja haaangushani ili mradi kuna manufaa kwa Mzungu mwenzao basi watazunguuukaa lakini wanamsapoti mlango wa nyumaHuwajui wazungu mkuu,au unawajua ila unapuuza.
Hakika tuendelee na kujadili unafiki wa kidunia ukiongozwa na wazungu.Ila tusisahau la kongo Kinshasa.Wazungu lao moja haaangushani ili mradi kuna manufaa kwa Mzungu mwenzao basi watazunguuukaa lakini wanamsapoti mlango wa nyuma
SADC and EAC are paper tigers!Bora jumuiya za kimataifa ziingilie maana SADC na nchi zake washirika hawana mabavu yeyote they are just toothless
Sio kweli. Sabau ya vita ni wizi wa madini Kongo ambao unafanywa na Ulaya kwa kuwatumia Rwanda na UgandaKwa hiyo umoja wa mataifa wanakubaliana na DRC kuwabagua jamii ya banyamulenge? Maana sababu ya vita kuendelea kuwepo congo ni ubaguzi wa serikali dhalimu ya DRC dhidi ya kabila la banyamulenge ambao ni wazaliwa wa Kongo.Hata kama Rwanda itaondoa wanajeshi wake lakini hii vita haitaisha.kama wanataka vita iishe basi waache kuwabagua banyamulenge Kwa kuwasingizia kuwa ni wanyarwanda wakati ukweli ni wacongo
Rwanda sarafu Yao inaporomoka Kwa KasiMkuu endelea kusubiri PK atoke madarakani! Sijui ni leo au kesho kutwa.