Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Hii tamaa ya Wazanzibari inatuharibia sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Simba dume zee likishindwa kulinda boma na kupanda kichuguu hufukuzwa na jikeBaba na Mama Simba 😂😂
Wapigaji wameingia kwenye suala la kuagiza sukari kutoka nje.Swala LA sukari inaonekana Kuna mambo mengi nyuma
Zantel au Tigo!?Ni muuza Vocha 🐼
Mkuu angalau leo nimeona post yako since nimejiunga JF, mie n mnazi wako kinyamaAmesema ukiona vitoto vya simba viko peke yao angalia kwanza usivivamie tuu wazazi wanaweza kuwa wapo karibu ukaumia 😄
Ana unyeti zaidi ya Rostam Aziz?Balozi Mpungwe ni mtu nyeti sana
Kama kuna Waziri kamchezea faulo basi yajayo yanafurahisha 😀🔥
Faiza kuna wakati unakuwa na akili kwel, hata kama Bashe kakiuka sheria kutatua swala hili, ila ninachoamini ni kwamba kawapiga kwenye mshono, walikuwa wanajiona miungu wantuMpaka sasa nimewasikiliza jwa dakika 30, naendelea kuwasikiliza lakini cha kusikifisha wanaongelea siasw na porojo nyingi. Kuwa "watazalisha" sukari ya kutosha kuanziq mwaka huu.
Pambaf kabisa, walikuwa wapi siku zote mpaka Bashe kaja kuwatia vidole vya masikio ndiyo wanasikia kuwa Watanzania wameathiriwa na bei za sukari?
Hawa wazalishaji hawatakiwi kutupigia porojo, wanatakiwa wazalishe sukari ishuke bei.
Ujinga mtupu.
Tena Ane ni rafiki yetu wa familia, atanikoma nikikutana nae.Faiza kuna wakati unakuwa na akili kwel, hata kama Bashe kakiuka sheria kutatua swala hili, ila ninachoamini ni kwamba kawapiga kwenye mshono, walikuwa wanajiona miungu wantu
Ila angeruhusu waagizaji wenye hadhi inoshabihiana na wao isingekuwa shida.Faiza kuna wakati unakuwa na akili kwel, hata kama Bashe kakiuka sheria kutatua swala hili, ila ninachoamini ni kwamba kawapiga kwenye mshono, walikuwa wanajiona miungu wantu
Hili suala limenifanya nimkumbuke spika wa Bunge la Marekani Newt Gingrich.niko kazini sina earphone, kasema nini huyu mwamba ?
Tatizo Spika Tulia bunge haliwezi.
Tofauti ya Tulia na kina Mkwawa, Msekwa, Sitta, Makinda ni kwamba hawa
1/ hawakupewa U-Spika na mamlaka za nchi
2/ walitokea sehemu nzito serikalini ambako walishajijengea heshima na hivyo hawakuiogopa sana serikali
Ndugai hakutokea serikalini lakini alishakaa bungeni miaka lukuki ambako palimjengea uhuru na uwezo japo kiasi kwa saab hakujiona kama ni chombo cha serikali
Tulia kaokotwa jalalani chuo kikuu, kalala mwalimu, masikini kapuku, kaamka spika wa bunge la watu milioni 60.... Kwa hiyo ni mnyenyekevu, mjipendekezi, obsequious, lap dog, mbwa wa mapajani, kwa mamlaka zilizomtoa jalalani. Ndio maana anachemka. Hata taaluma ya sheria kaweka pembeni.
Mpina kamchambua uwezo wake mdogo wa kisheria, kasema sheria aliyotumia Spika kum punish ni sheria ya vyombo vya habari vinapo cover bunge, sio mbunge anapoongea mitaani. Tulia Ackson is worst speaker in the history of legislature.
Kwa hiyo Mpina alikuwa sahihi, na Bunge lote lililopiga kura kumuengua walikuwa ni mbumbumbuWapigaji wameingia kwenye suala la kuagiza sukari kutoka nje.
Hilo bila shaka yoyote litawezesha kuingiza nchini sukari ilokwisha muda wake na isofaa kwa matumizi ya binadamu.
wauza vouchers ni wapigaji.
Wazalishaji wa sukari ni lazima walindwe na serikali wahitaji sana hiyo kinga ili kuwasidia kufanya biashara yao bila shida.
Huwezi kujenga kiwanda kama cha Bagamoyo Sugar ambacho mzee Balhresa kaamua kuwekeza na hapohapo wakandamiza wazalishaji wa ndani.
Mkuu ndio maana nimesema, kakiuka sheria, angalau siku nyingine tutaheshimianaIla angeruhusu waagizaji wenye hadhi inoshabihiana na wao isingekuwa shida.
Mbona wakala wa taifa wa chakula yupo angepewa jukumu hilo la kuaguza sukari ndo ingekuwa ni bora zaidi.
Kwanini wauza vouchers wapewe jukumu la kuagiza sukario na si jukumu lao?
Bodi ya sukari ipo je imekwama wapi?
Njia ipi ilitumika kuwapata waagizaji binafsi wa sukari kutoka nje ya nchi?Kwa hiyo Mpina alikuwa sahihi, na Bunge lote lililopiga kura kumuengua walikuwa ni mbumbumbu
Ni kweli kabisa itasemwa kakiuka sheria za upigaji.Mkuu ndio maana nimesema, kakiuka sheria, angalau siku nyingine tutaheshimiana
Asee unamponda hadi ami Bahalesa kweli ustaadhatMpaka sasa nimewasikiliza jwa dakika 30, naendelea kuwasikiliza lakini cha kusikifisha wanaongelea siasw na porojo nyingi. Kuwa "watazalisha" sukari ya kutosha kuanziq mwaka huu.
Pambaf kabisa, walikuwa wapi siku zote mpaka Bashe kaja kuwatia vidole vya masikio ndiyo wanasikia kuwa Watanzania wameathiriwa na bei za sukari?
Hawa wazalishaji hawatakiwi kutupigia porojo, wanatakiwa wazalishe sukari ishuke bei.
Ujinga mtupu.