Usiwape China sifa mbovu kwa kutoelewa kwako.Bodi walitakiwa ujuwe, unajuwa hao wote hapo kwenye hiyo bodi?
Tusitetee ujinga. Waloikuwa wapi mpaka sukari ifikie 10,00 kilo, hiyo ni "cartel" ya wapigaji bila huruma.
Hao kama China saa hizi washakula risasi za kisogo, na anaewatetea ni hivyo hivyo.
Hapo ingekuwa ni China, huyo mama 'Chura Kiziwi' asingekuwepo kabisa katika nafasi hiyo, na kama angetokea kuwepo, huyo ndiye angekula hiyo risasi unayoizungumzia hapa.
"Kutetea ujinga" ni kujuwa kwamba kuna 'cartel', badala ya kutumia sheria/taratibu zilizopo, huyo "mjinga" anavuruga taratibu hizo na kuvunja sheria mwenyewe kwa kugawa vibali kwa mashemeji na ndugu zake nje ya taratibu.
Sukari kuuzwa Tsh10,000/ hiyo ni kazi ya Bashe na kundi lote linalomsaidia kutafuta hela za kuchafua chaguzi zijazo. Zile za waarabu zinatafutiwa hizi chache za kuzifunika zisionekane bayana.