Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje
Mapriofesa wapo Havard, Princeton, Oxford. Hivi vi profesa uchwara ya Tanzania hata kujieleza vinashindwa na vyo unavihesabu?

Si japo angetajwa Profesa Assad, ameiteteemesha serikali nzima kutokea Umoja wa Mataifa, na hajakaa bila kazi.
maprofesa wengi tu bongo wamesoma huku huku nje ndugu bibi kizee, acha dharau.
 
Tulimuonaprofesa kwenye kesi ICSID anashindwa hata kujielezea.

Ukweli ubaki kuwa ukweli.
kila profesa anakuwa profesa wa tasnia fulani au kozi fulani, hata ulaya na kwengine wapo maprofesa wengi tu hawawezi kustahimili maswali mbele ya mahakama, mahakamani ni sehemu nyengine kabisa. tuulize sisi tunaoshinda huko. hata anayejua kujieleza sana mtaani huku akiwa pale anaweza kubabaika sio kwasababu hajui ila kwasababu ya hofu. kitu kingine, kwenye kutetea mikataba ya nchi, kuna mengi sana, ni kitu kigumu sana kutetea kitu cha uongo ukiite cha kweli, lazima tu utababaika. ndio maana tulikuwa tunapinda DP WORLD lakini wewe na wahuni wenzako mlishadadia mno kwasababu tu ya dini. kuna siku professa mwingine ataenda kuhojiwa baada ya dp world kutushitaki, na kwasababu mambo yalipindishwa atashindwa hata kujieleza. I hope utakuwa umeelewa. wewe sio msomi ndio maana hujui haya na si ukute ni mama wa nyumbani unasubiri tu bwanako aje aendelee kuzipiga hizo sehemu zako za siri kizanzibari.
 
Alikuwa anaulizwa kuhusu sheria alizotunga yeye mwenyewe.

Usitetee ujinga kama kawaida ya mapoyoyo wote.
 
hata ukiulizwa sheria ulizotunga nchini kwako, kama anachokitetea ni cha uongo, unafikiri maelezo yatanyooka? mbona unashindwa kuelewa.
 
Hapana Mungu apasaye kuabudiwa isipokuwaa Allah.

Kumbuka hilo.
Sasa hizi ni akili za matope, kama ilivyo kawaida yako.
Hapo juu umeandika taka hii "Kazi ya Mungu haina makosa", lakini sasa unaweka 'Allaaa" ndiyo mdudu gani huyo?
 
maprofesa wengi tu bongo wamesoma huku huku nje ndugu bibi kizee, acha dharau.
Hujui maana ya u-profesa ni nini, ndiyo maana akili yako imesombwa na kasumba hiyo uliyo nayo.

Hapa hapa kwetu, tunao maprofesa wa uhakika kabisa. Kinacho haribu ni hizi siasa za u-CCM zinazoingia kila sehemu, hata kusiko hitajika kuingizwa siasa.
Ulisha wahi kusikia maprofesa wa vyuo hivyo wakipapatikia siasa mshenzi kama hizi za CCM?
Ondoa uozo huo huko uone jinsi wataalam hawa wanavyo weza kuleta heshima ndani ya nchi yetu tena.
 
Sasa hizi ni akili za matope, kama ilivyo kawaida yako.
Hapo juu umeandika taka hii "Kazi ya Mungu haina makosa", lakini sasa unaweka 'Allaaa" ndiyo mdudu gani huyo?
Hauujuwi msemo wa Kiswahili "kazi ya Mungu haina makosa"?
 
Kwa mtazamo wangu, Bashe ameshinda hii Vita, amefanikisha kumtoa nyoka pangoni. Hii ni hofu ya financial bill, Mimi sijaona hoja yenye mashiko kwao, zaidi ya kujitetea kuwa wao sio maharamia Wala so mapapa. Ila kwangu Bashe amewashika pabaya. Amepiga kwenye mshono. Bashe anatakiwa kuungwa mkono na kupewa nguvu.
Usijipe moyo Mr. Bashe 🤣
 
Unaogopa hata kujibu swali lililo wazi. Sasa tuseme wewe unaweza kitu gani hasa, "ulevi" tu, basi?
Nenda kajibu wewe hapo juu. Unashindwa nini?

Hussein bashe kishaagiza sukari na bei imeshuka, Hakuna cha Ame wala mpina aliyeweza kuzuwia hilo. Na sheria imepita, haonewi tena Mtanzania na "cartel".
 
Aliye agiza hiyo sukari ni nani, na kapatikana kwa njia zipi. Anzia hapo. Hilo swali pekee hamtaki kulijibu.

Actually' unanipotezea muda tu na vimaneno vyako mshenzi hivi hapa. Kuna ya muhimu zaidi kujadili zaidi ya upuuzi huu.
 
Muulize Ame na mpina.
 
Back
Top Bottom