Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Amepotezwa kabisa na dk shika
Na hii ya babu seya na papii sijui kama atakuja rudi hata robo ya pale awali
Hawezi tena mkuu sasa hivi kiki kapokea babu sea kutoka kwa dr shika
 
Dah!! wasanii waba bahatisana kila mwaka hufanya sherehe za birthday lakini umri wao unaganda hapo hapo, Haoungezeki kama wa binadamu wa kawaida
 
Dah!! wasanii waba bahatisana kila mwaka hufanya sherehe za birthday lakini umri wao unaganda hapo hapo, Haoungezeki kama wa binadamu wa kawaida
Hao ni kama demon hawaongezeki mkuu ata kwa bakora
 
Correct.....nilimuona 2012 akihojiwa na Salama kwenye mkasi akathibitisha kufikisha 18....
Sasa 18+5=23 minimum....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…