Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hahaha,mkuu mimi sio ka harmorapa,Harmorapa session two
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha,mkuu mimi sio ka harmorapa,Harmorapa session two
Kama yule jamaa wa ikulu,aliyempa mjengoWewe kama nani mkuu
Anaringana na Tanganyika jamaaKulalaleki huyu mzee yupo sawa na baba yangu aseee.
Ndo twin ako huyoDuh tunashare birthday na hili jinga mungu wangu
Twin mjinga hivi jaman ahaaaaaNdo twin ako huyo
Alafu jamaa ata mzee wangu linamzidi umriTwin mjinga hivi jaman ahaaaaa
Hah hah hah, hongera mkuuDuh tunashare birthday na hili jinga mungu wangu
Correct.....nilimuona 2012 akihojiwa na Salama kwenye mkasi akathibitisha kufikisha 18....Nakumbuka mwaka 2011 au 2012 kwenye gazeti moja la udaku lulu alikuwa anasherehekea birthday ya miaka 18...but baada ya majanga ya kanumba akarudisha miaka nyuma hadi 17 ili kesi imuendee vizuri aonekane alikuwa anabakakwa... sasa jumlisha 18 ya 2011 hadi 2017 uone