Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Kwa Wema mtoa mada umekosea hajagusa umri huo maana kipindi anashiriki kuna tuhuma kitaan kuwa alikuwa hajafika 18 bado
Ni tuuma lakini hazikusibitika hivyo ukweli unabaki uliopo tu she is Above 30±
 
Yaani wanaboa mkuu mpaka gigy money kasena hajafikisha miaka 18 yuko kwenyec Agemate ya 17
 
Apparently wema sepetu ni 26 or 27 hivi .. i rem mange kimambi saying she lied about her age lool.. lets say she aged fast kutokana na maisha anayo ishi ndo kimemzeesha mapema pengine na vyakula
Team mange kasema.. Dah aibu hii kwa mwanaume..
 
Hivi kweli wasanii wetu wanalingana na Uhuru Kenyatta? Acheni masihara ya kupoteza muda hapa.. Twendeni kwenye majukumu
Wewe sijui umekurupuka kutoka wapi kwani kuna mtu humu unamfuga unamkumbusha Majukumu?

Muda wote huo umekaa kusoma kilichoandikwa hapa ulisahau kuwa hakuna majukumu, Lala kivyako kuna watu tuna Bima ya Maisha komaa na Majukumu yako usiwe kengele ya wenzako..... UTAGONGWA VIBAYA,si unajua kengele zinavyogongwa?
 
Ukweli unauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…