Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Kwa Wema mtoa mada umekosea hajagusa umri huo maana kipindi anashiriki kuna tuhuma kitaan kuwa alikuwa hajafika 18 bado
Ni tuuma lakini hazikusibitika hivyo ukweli unabaki uliopo tu she is Above 30±
 
hivi kwa nini watz hatuwi-proud of na umri ? tuanze na wasanii wetu, hawapendi kuonekana umri umewatupa...
wema 30plus
monalisa 32plus
proff j 37plus
temba 35plus
ay 34plus
anty ezekiel 32plus
jide 37plus

bora wachezaji kina msuva wanatudanganya wana miaka 24, lakini siwalaum kwa sababu mpira ndio ajira zao kwa hiyo wanaongopa umri ili career zao ziendelee mda mrefu, ukizingatia miili yetu ya kiafrika haizeeki ovyo kama ngozi nyeupe, inakomaa tu na kukauka....
Yaani wanaboa mkuu mpaka gigy money kasena hajafikisha miaka 18 yuko kwenyec Agemate ya 17
 
Apparently wema sepetu ni 26 or 27 hivi .. i rem mange kimambi saying she lied about her age lool.. lets say she aged fast kutokana na maisha anayo ishi ndo kimemzeesha mapema pengine na vyakula
Team mange kasema.. Dah aibu hii kwa mwanaume..
 
Hivi kweli wasanii wetu wanalingana na Uhuru Kenyatta? Acheni masihara ya kupoteza muda hapa.. Twendeni kwenye majukumu
Wewe sijui umekurupuka kutoka wapi kwani kuna mtu humu unamfuga unamkumbusha Majukumu?

Muda wote huo umekaa kusoma kilichoandikwa hapa ulisahau kuwa hakuna majukumu, Lala kivyako kuna watu tuna Bima ya Maisha komaa na Majukumu yako usiwe kengele ya wenzako..... UTAGONGWA VIBAYA,si unajua kengele zinavyogongwa?
 
Ukweli unauma
 
Back
Top Bottom