halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,096
- 5,254
Shilole 42
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahDully Sykes 53
Christian Bella anakaribia 50 ila ukimuuliza eti ana 31Shilole 42
Mimaji mbwambwambwa hamna kitu mle zaidi ya michirizi chirizi mwilini kama bwawa lililokauka maji wakati wa kiangazi bora hela yako uendee Corner Bar uopoe danga uta-enjoy.Ila huyu wema huyu,siku nikipata pesa lazima ni date nae hata akiwa kasha zeeka
Nakumbuka kipindi nipo green City kuna dada alikuwa secretary wa kampuni moja ya ulinzi, alivyo umbika kila mtu alikuwa akimuongelea sana. Siku moja tumekaa pale Retco akapita, kama kawaida watu wakaanza kumzungumza basi kaka mmoja ambaye alikuwa anaheshimika sana pale akasema " PALE HAMNA KITU NA UKITHUBUTU KUPAHITAJI NA KUPATA UTAJUTA MAISHA YAKO YOTE" kwa heshima aliyokuwa nayo pale hakuna aliyehoji kwa nini,,,,,!!Mimaji mbwambwambwa hamna kitu mle zaidi ya michirizi chirizi mwilini kama bwawa lililokauka maji wakati wa kiangazi bora hela yako uendee Corner Bar uopoe danga uta-enjoy.
Wapenda vyuma chakavu utawajua tu[emoji23] [emoji23]Ila huyu wema huyu,siku nikipata pesa lazima ni date nae hata akiwa kasha zeeka
[emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji23] [emoji23]Wapenda vyuma chakavu utawajua tu[emoji23] [emoji23]
heshimu wanawake mkuuMimaji mbwambwambwa hamna kitu mle zaidi ya michirizi chirizi mwilini kama bwawa lililokauka maji wakati wa kiangazi bora hela yako uendee Corner Bar uopoe danga uta-enjoy.
Mkuu umefatilia point zangu pale nilipomdertermine umri wake hawezi kuwa kwenye 26 ata kwa dawa kwa sababu kama alishiriki na kushinda miss Tanzania basi lazima alikuwa na miaka kuanzia 18 na hiyo ilikuwa mwaka 2006 .Apparently wema sepetu ni 26 or 27 hivi .. i rem mange kimambi saying she lied about her age lool.. lets say she aged fast kutokana na maisha anayo ishi ndo kimemzeesha mapema pengine na vyakula