Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Mimaji mbwambwambwa hamna kitu mle zaidi ya michirizi chirizi mwilini kama bwawa lililokauka maji wakati wa kiangazi bora hela yako uendee Corner Bar uopoe danga uta-enjoy.
Nakumbuka kipindi nipo green City kuna dada alikuwa secretary wa kampuni moja ya ulinzi, alivyo umbika kila mtu alikuwa akimuongelea sana. Siku moja tumekaa pale Retco akapita, kama kawaida watu wakaanza kumzungumza basi kaka mmoja ambaye alikuwa anaheshimika sana pale akasema " PALE HAMNA KITU NA UKITHUBUTU KUPAHITAJI NA KUPATA UTAJUTA MAISHA YAKO YOTE" kwa heshima aliyokuwa nayo pale hakuna aliyehoji kwa nini,,,,,!!
 
Wapenda vyuma chakavu utawajua tu[emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu mungu anakuona kwa hiyo wema tayari ni Chuma Chakavu
 
Mimaji mbwambwambwa hamna kitu mle zaidi ya michirizi chirizi mwilini kama bwawa lililokauka maji wakati wa kiangazi bora hela yako uendee Corner Bar uopoe danga uta-enjoy.
heshimu wanawake mkuu
 
Apparently wema sepetu ni 26 or 27 hivi .. i rem mange kimambi saying she lied about her age lool.. lets say she aged fast kutokana na maisha anayo ishi ndo kimemzeesha mapema pengine na vyakula
 
Apparently wema sepetu ni 26 or 27 hivi .. i rem mange kimambi saying she lied about her age lool.. lets say she aged fast kutokana na maisha anayo ishi ndo kimemzeesha mapema pengine na vyakula
Mkuu umefatilia point zangu pale nilipomdertermine umri wake hawezi kuwa kwenye 26 ata kwa dawa kwa sababu kama alishiriki na kushinda miss Tanzania basi lazima alikuwa na miaka kuanzia 18 na hiyo ilikuwa mwaka 2006 .

Sasa kuanzia mwaka 2006 mpka leo ni miaka mingapi na kujumlisha hiyo ya Ushiriki ndio utapata umri wake..
 
Back
Top Bottom