Familia za ki don ndio huweza kutoa zawadi hizo kwa watoto wadogo ktk kipindi cha Sherehe au sikukuu. Familia hizo hizo za kidon ndio kuna mashangazi wa aina hizo.Kuna ma aunty na uncles wanaweza kumnunulia kama zawadi ya Idd au X-mas, kabla hajafika chuo unaweza kumnyang’anya?
Watoto wengine wanashawishika kupata simu ya kiganjani kutokana na peer pressure. Unakuta wenzake anao mingle nao wote wana simu.Familia za ki don ndio huweza kutoa zawadi hizo kwa watoto wadogo ktk kipindi cha Sherehe au sikukuu. Familia hizo hizo za kidon ndio kuna mashangazi wa aina hizo...
Habari za asubuhi Bujibuji Simba Nyanaume 😂😂😂😂Sky Eclat, siku hizi uzazi umekuwa mgumu Sana, baba ana low sperm count, mama ana imbalanced hormones, jumlisha utititiri wa mimba alizochoropoa huko nyuma...
Njema sana, najua hukutarajia kicheko Cha alfajiri. Wanasemaje huko Reading?Habari za asubuhi Bujibuji Simba Nyanaume 😂😂😂😂
Tena akiwa amejiunga na tigo cha asubuhiSky Eclat, siku hizi uzazi umekuwa mgumu Sana, baba ana low sperm count, mama ana imbalanced hormones, jumlisha utititiri wa mimba alizochoropoa huko nyuma...
Kuna mtu na mkewe waliachana, wakawa hawaelewani. Baba akawa anataka kuwanunulia watoto smartphone ili wawe wanawasiliana. Ustawi ilimwambia baba wakifika darasa la 4,( kwa huku 9 yrs). Inategemea familia iko wapiAtakapo hongwa
I think there no exactly age that kid can be allowed to own smart phone but I see if your kid is grown enough to handle his/her issues like timetable preparing , washing himself, washing his/her clothes.View attachment 1981372
Smart phone na social media haviepukiki katika dunia ya leo. Moja ya faida ni kuelimisha, kuna binti wa miaka 10 aliweza kuandaa period pack yake kabla hata ya kupevuka kutokana na uwelewa alioupata kutoka kwenye Internet. Hii ni moja ya faida chanya za social media.
Watoto wanapata habari nyingi mno na nyingine ni hatari kwao kufahamu, kutokana na uwezo wao wa kupambanua mambo. Maisha ya sasa hivi yalivyo hata usipomnunulia mtoto simu, kuna ndugu na marafiki wa karibu watakao waza zawadi ya simu kwa birthday au sikukuu ya dini.
Ni umri gani ni sahihi kumruhusu mtoto kuwa na simu hii na ni jinsi gani unaweza kumlinda?
Kuna sehemu unaweza ku alert kuwa mtoto yuko chini ya miaka 18 ili asipate access ya site nyingine za social media?Mkuu hakuna specific age ya kumnunulia mtoto simu.
Mimi nilianza kutumia smartphone nilipomaliza form 6 tena nilinunua baada ya kufundisha "tuition" wanafunzi na kupata pesa.
Kifupi ukiona amejielewa katika nyanja nyingi za kimaisha mpatie simu na muongozo mzuri kwa sababu mitandao ina leta stress nyingi sana.