Umri gani ni sahihi kumpa mtoto smart phone?

Mtoto hapewi smart phone dada. Unaweza kudhani unampenda kumbe unamharibu. Subiri awe mtu mzima atafute yake.Usidanganyike Sky, hakuna kitu kizuri kwenye smartphone kwa mtu, vyote ni destructive, na vipo kwa ajili hiyo.
 
Mtoto hapewi smart phone dada.Unaweza kudhani unampenda kumbe unamharibu.Subiri awe mtu mzima atafute yake.
Kaka inategemea ni mtoto wa aina gani, kuna wengine smart phones zinawajenga, you tube kuna tuition za science, maths, literature, you name it. Kuna watoto wengine smartphones zimewalsaidia ufaulu vizuri mitihani ya O-leve na A - level.
 
Kaka inategemea ni mtoto wa aina gani, kuna wengine smart phones zinawajenga, you tube kuna tuition za science, maths, literature, you name it. Kuna watoto wengine smartphones zimewalsaidia ufaulu vizuri mitihani ya O-leve na A - level.
No,usidanganyike Sky, hakuna kitu kizuri kwenye smartphone kwa mtoto, vyote ni destructive, na vipo kwa ajili hiyo.The World will try to convince you otherwise, but remember that the World has nothing good to offer you, be smart.
 

Unajiona Umeinaanga Tecno na itel kumbe mwenyewe unatumia infinix [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23] huyooo huyooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko siriazi kweli [emoji23][emoji23][emoji23] hilooooo[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]yuuuu yuuuu yuuu[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nilipewa simu na mama baada ya form 1 likizoni. After hiyo nikapewa nyingine na mzee nikiwa form 2. Nilipofika form 3 nikamiliki smartphone yangu ya kwanza Samsung.

Nilipewa simu ili niache kuvizia simu yoyote inayopatikana home kuingia Google. Ukiacha simu home natumia vocha yako au nanunua vocha naingia internet hata nusu saa inatosha. Hiyo tabia nilianza baada ya kuwa nikimuuliza ticha flani maswali yeye ana-Google kupata majibu. Niliwaambia wakinipa simu nitaacha kuuliza maswali kwingine. Ukouko nikaijua JF

Baadae niliambiwa nilipewa simu kwa kuwa sikuwa naishi na wazazi
 
Simu ilikuongezea uwelewa wa masomo na kukusaidia kufaulu mitihani?
 
Nina kitoto cha kike miaka miwili na nusu analilia sImu kil wakati anakwa.bia acheze game na anascrol vizuri tu
 
Kaka inategemea ni mtoto wa aina gani, kuna wengine smart phones zinawajenga, you tube kuna tuition za science, maths, literature, you name it. Kuna watoto wengine smartphones zimewalsaidia ufaulu vizuri mitihani ya O-leve na A - level.
Halafu Sky let me warn you, JF imejaa bad elements of the Luciferian World agenda who are actually hell bent to destroying the family and morals.So as I have said, be smart.Usiige what the World offers, jiridhishe kwamba what you adopt for yourself and your family is the right thing.
 
Sijawa na nafasi bado ya kupata mtoto au mtu wa kuzaa Naye sio rahisi kuweza kujua nifikirie kumpa akiwa na umri gani
 
Inategemea na nchi aliyopo. Kibongo bongo subir adi afike High-level maana kabla ya apo atakuwa anatazama Porno na vichekesho tu vya TikTok,

Uaya wazungu ata miaka 8 mtoto anapewa smartphone na anaitumia vyema kabisa ktk mambo muhimu..
 
Wangu ana miaka 12 ana laptop mbili, desktop, PlayStation na xbox, an ipad na smartphone. Mimi pia nilipewa hivyo vitu nikiwa umri huo pamoja na dada zangu nao pia naona watoto wao wana smartphone and they are so young.
 
Wa kwangu Mimi ni std 6 'ke' imenilazimu nimuachie kisimu changu cha zamani maana kila muda ananiomba simu aingie gugo. Nnachofanya ni kuikagua simu yake ghafla na Mara kwa Mara. Kuangaria anachoperuzi.
Haikwepeki kwa sasa kumpa mtoto simu. Usipompa wewe atapewa na wengine hatari zaidi ni kuwa hautajua km anamiliki simu.
 
Nadhani mwanao akifika umri ukaona anajitambua,ana uwezo wa kupembua jema na baya mpe simu
Watoto wanatofautiana sana katika ukuaji,kuna mwingine la 4 anajielewa ila kuna mwingine la 7 ila hamna kitu!
 
Nilianza kutumia internet form 1 kutumia simu ndogo,ynye browser ya opera mini ,

Nilikuwa najua mambo mengi sana ,story habari,English language ,movie ,music worldwide, ila mamb ya class nilikuwa sina interest ya kugoogle nasoma tu kawaida

Barehe mbaya sana, niliishia kuwa tu mdau wa redwap,wetwap ,peporonity,na ile blog pendwa ya Nancy
Form 4 nikanunua smartphone addiction ikawa kubwa sana

Kwa upande flani inaweza kusaidia

ila MTU akiwa kwenye adolescents ,unajikuta tu automatic unapenda contents za ngono,relations ,movies miziki ,trends , hapo ndo tatzo huanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…