T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Simu ilinifanya niwe mjanja mpaka leo. Ufaulu wa mitihani uliongezeka kiasi fulani ila uelewa wa historia, teknolojia, siasa, biashara, mambo ya kimataifa uliongezeka maradufu. Ila na mademu nilirahisishiwaSimu ilikuongezea uwelewa wa masomo na kukusaidia kufaulu mitihani?
Kama hii👉Uaya wazungu ata miaka 8 mtoto anapewa smartphone na anaitumia vyema kabisa ktk mambo muhimu👈ingekuwa kweli Ulaya isingekuwa ya hovyo kama ilivyo leo.Without exception simu zimeletwa kwa agenda ovu kama kuharibu afya zetu, families na morals.Yote tunayoambiwa kwamba ni advantages za simu ni by the way.To rational people this is clear.Inategemea na nchi aliyopo. Kibongo bongo subir adi afike High-level maana kabla ya apo atakuwa anatazama Porno na vichekesho tu vya TikTok,
Uaya wazungu ata miaka 8 mtoto anapewa smartphone na anaitumia vyema kabisa ktk mambo muhimu..
Kuna umuhimu/lazima wa yeye kumiliki hivo vitu? Mfano laptop mbili? iPad na smartphone? PS na xbox?. Ni sawa na mtu kuvaa saa mbili .Wangu ana miaka 12 ana laptop mbili, desktop, PlayStation na xbox, an ipad na smartphone.
Chefuuu umnyang'anye ili iweje? Acha wivu muache mtoto afurahi na roho yake.Kuna ma aunty na uncles wanaweza kumnunulia kama zawadi ya Idd au X-mas, kabla hajafika chuo ni sahihi kumnyang’anya?
Unajua mkuu, watu wengine ni vichaa bila kujitambua, laptops mbili, iPad, Smartphone, ili iweje hasa?Tena mtoto!Yaani bila aibu ana expose ujinga wake.Sifa za kijinga kabisa.Kuna umuhimu/lazima wa yeye kumiliki hivo vitu? Mfano laptop mbili? iPad na smartphone? PS na xbox?. Ni sawa na mtu kuvaa saa mbili .
Kazi ya xbox ni nini?Wangu ana miaka 12 ana laptop mbili, desktop, PlayStation na xbox, an ipad na smartphone. Mimi pia nilipewa hivyo vitu nikiwa umri huo pamoja na dada zangu nao pia naona watoto wao wana smartphone and they are so young.
Good!Wangu ana miaka 12 ana laptop mbili, desktop, PlayStation na xbox, an ipad na smartphone. Mimi pia nilipewa hivyo vitu nikiwa umri huo pamoja na dada zangu nao pia naona watoto wao wana smartphone and they are so young.
Unaishi Dar, Arusha au Kilimanjaro?Wangu ana miaka 12 ana laptop mbili, desktop, PlayStation na xbox, an ipad na smartphone. Mimi pia nilipewa hivyo vitu nikiwa umri huo pamoja na dada zangu nao pia naona watoto wao wana smartphone and they are so young.
😂😂😂Akiwa na uwezo wa kununua mwenyewe ambapo ni allowance zake akiwa chuoni
Kucheza games tu ambazo hawezi cheza kwenye psKazi ya xbox ni nini?
Hongera, leo huja-quote 'kihasira hasira', umeamka vizuri leo, kama una mke, basi ashukuriwe mno shemeji.Youtube Kids ni safe kwa mtoto kuanzia 2yrs
Mpaka 12years huyo mkubwa mno
Hamna kumzuia popote
Oooh mara nyingi huwa ni za cartoons sio?Kucheza games tu ambazo hawezi cheza kwenye ps
NdioKuna ma aunty na uncles wanaweza kumnunulia kama zawadi ya Idd au X-mas, kabla hajafika chuo ni sahihi kumnyang’anya?