Umri gani ni sahihi kumpa mtoto smart phone?

Mimi ushauri wangu mtoto akifiia secondary school mnunulie laptop na siyo smartphone.

Kama kutakuwa na ulazima wa mawasiliano mnunulie simu ya kitochi.

Wengi mtashangaa sana why laptop na siyo smartphone na gadget zote hizo zina access Internet ila ukweli nawaambia smartphone zinatia ujinga zaidi hawa watoto, lakini laptop ina tofauti kubwa sana na smartphone.
 
Kuna umuhimu/lazima wa yeye kumiliki hivo vitu? Mfano laptop mbili? iPad na smartphone? PS na xbox?. Ni sawa na mtu kuvaa saa mbili .
Mwanzoni kulikuwa na kimoja kimoja vingine akapewa na familia
 
Kuna ma aunty na uncles wanaweza kumnunulia kama zawadi ya Idd au X-mas, kabla hajafika chuo ni sahihi kumnyang’anya?

Kama hujui kule labda, nyumbani kwangu watoto wangu hawanunuliwi vitu hovyo, never ever forever!

Na wala Sio Kwamba nawachapa, ila they are programmed like that, ndivyo nimewalea.

Sitaki utandawazi mimi kwenye malezi, Hata Kama ni birthday wanaletewa zawadi, nitaangalia kwanza Kama hazifai nitaweka kingine ndo niwape!
 
Mwanangu akiwa na miaka saba.nitamnunulia computer au laptop.
Simu atakuja kununua mwenyewe
 
Teknolojia inakuwa sana, na ulimwengu wa sasa ni teknolojia; unakuta kijana chini ya miaka 20 anamiliki 'mansion' huko kwa wenzetu kutokana na kumiliki chaneli ya 'youtube'. Itategemea hiyo simu unampa kwa malengo yapi
 
Ngoja nitoe story mimi nilipewa ela ya tuition kama elfu 50 nikaona mambo yasiwe mengi nikaongezea nikanunua nokia lumia kwa mtu na nikawa nazuga naenda tuit kumbe hola, kwa hiyo hakuna umri sahihi wa kumiliki simu bali ni ujanja ujanja wa mtoto ova.
 
Kumfunza mtoto maadili mema ni moja ya njia ya kumlinda kutokana na vishawishi vya upotevu.
Umri wakati mwingine hauakisi kupevuka kiakili kwa mtoto hivyo inategemea mazingira halisi anayoishi muhusika.
 
Hii naamini inatofautiana baina ya familia na familia

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku nilikua nikitizama kwnye simu yangu sikumbuki ilikua setting ya nn hasa ila ikawa inanipa option hizo ambazo unaeka umri wa mtoto ili content ziwe za kitoto na mpka leo naona youtube content zilizopo ni za kitoto.
Kuna sehemu unaweza ku alert kuwa mtoto yuko chini ya miaka 18 ili asipate access ya site nyingine za social media?
 
Hapa jibu linakuwa rahisi tu kama hili maana unacheki kipato. Sasa, hata hawa wakina sisi ,hawana uwezo wa kumiliki lakini wanapata access kupitia walezi au watu wanaowazunguka. Na si suala la kupuuza, binafsi ninaona watoto wengi tu wakijichanganya na simu za wakubwa wao. Kwahiyo, bado kuna changamoto hata kama hizilingani na za kidon.
 
Kama zanani ilivyokua kusoma na kuandika
Basi na sasa smartphone ndio mpango mzima, so atakapoweza tu kutumia mpatie
Vinginevyo ataachwa sana
Dunia inakimbia sana
 
Kuna Feature inaitwa Parental Control, kwenye device nyingi ipo, wazazi muwe mna Enable hii ki2 kabla hujamkabidhi Sim mwanao. Sim zinamambo mengi.
 
Ohooo !!

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…