malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habar wakuu nimeoa ndoa ya miaka 12
Nina kuja kwenu tatizo kadri miaka inasogea linakua kubwa zaid nguvu zangu zakiume zimepungua kama sikuisha Sina msisimko kabisa uume hausimami sometime inasimama ila dhaifu mno hofu imekua kubwa sana.
Pia nina ugonjwa wa thyroids hyperthyroidsm nimeidhibiti kwa dawa mawazo yamekua mengi ila kama mwezi mmoja nyuma nimepiga mpango kando show ikawa Iko poa