MKILINDI
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 791
- 1,120
Bado ngazi mbili ufike ghorofa ya nne. Unapoelekea kwa dalili zako inabidiHabar wakuu nimeoa ndoa ya miaka12.. nna kuja kwenu tatizo kadri miaka inasogea linakua kubwa zaid nguvu zangu zakiume zimepungua kama sikuisha Sina msisimko kabisa uume hausimami sometime inasimama ila dhaifu mno hofu imekua kubwa sana..pia nna ugonjwa wa thyroids hyperthyroidsm nimeidhibiti kwa dawa...mawazo yamekua mengi...ila kama mwezi mmoja nyuma nimepiga mpango kando show ikawa Iko poa
1. punguza kiasi cha sugar,
2.fanya mazoezi,
3.punguza pombe,
4. Punguza nyama choma,
5. Punguza kiasi cha mafuta.
6.Jitahidi usiwe na msongo
7. weka malengo unayoyafikia.
8. Kunywa maji
9.Acha michepuko
10.Omba Mungu
11. Acha kuangali ngono
12. Acha kujichua
Huna shida yoyote ila unaelekea kwenye shida. Zingatia namba 11 na 12. Kuoa sio kigezo.