malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
DR Mambo JamboHabar wakuu nimeoa ndoa ya miaka12.. nna kuja kwenu tatizo kadri miaka inasogea linakua kubwa zaid nguvu zangu zakiume zimepungua kama sikuisha Sina msisimko kabisa uume hausimami sometime inasimama ila dhaifu mno hofu imekua kubwa sana..pia nna ugonjwa wa thyroids hyperthyroidsm nimeidhibiti kwa dawa...mawazo yamekua mengi...ila kama mwezi mmoja nyuma nimepiga mpango kando show ikawa Iko poa
fact sana............tatizo linaanzia kenye akiliNguvu zipo acha uoga we zingatia afya Yako kwanza ya mwili na akili
Fanya mazoezi mepesi
Kunywa maji mengi
Kula chakula kwa wastani
Control uzito wako
Usiwaze sana mapenzi jiwaze wewe zaidi
Nguvu utakuwa nazo hadi unaenda kaburini
Nlishaga zunguka sana madokta wakanambia nko poa.. na mwezi moja nyuma tu nimenyadua mdada pembeni vizur tuPole sana mkuu, jaribu kuwatafuta ma Dr uwaeleze shida yako
jaribu tena mpango wa kando ukinyandua vizuri basi mmoja kati ya uliowah kuwaowa kazunguka kaka inaumaa sanaNlishaga zunguka sana madokta wakanambia nko poa.. na mwezi moja nyuma tu nimenyadua mdada pembeni vizur tu
Sjakuelewa mmoja kati ya nlowahi kuwaoa kazunguka kivipjaribu tena mpango wa kando ukinyandua vizuri basi mmoja kati ya uliowah kuwaowa kazunguka kaka inaumaa sana
Hadoa ya miaka12.. nna kuja kwenu tatizo kadri miaka inasogea linakua kubwa zaid nguvu zangu zakiume zimepungua kama sikuisha Sina msisimko kabisa uume hausimami sometime inasimama ila dhaifu mno hofu imekua kubwa sana..pia nna ugonjwa wa thyroids hyperthyroidsm nimeidhibiti kwa dawa...mawazo yamekua mengi...ila kama mwezi mmoja nyuma nimepiga mpango kando show ikawa Iko poa
Pole Sana,sululisho la nguvu za kiume kwanza,Jitahidi kula chakula kamili,Pili jitahidi kufanya mazoezi,Tatu jitahidi kupata muda wa kupumzika angalau kila siku,Nne punguza mawazo,Tano epuka vyakula vya viwandani vilivyosindikwa kula vyakula asili,Sita Epuka Musterbation/punyeto.Amini pasi na shaka hiki ninachokuambia, nguvu unazo, tatizo saikolojia yako imesharibiwa na ile faikure yabkwamza kabisa.., sasa jinsi unavyozidi kuwaza ndivyo unatakavyozidi kupata wasiwasi wakati wa tendo, ukishaanza kudoubt tu, moja kwa moja adrenaline inaachiliwa kwenda kwenye damu, na moja kwa moja mashine italala.., sasa dawa hapa ni upogwe Placebo.., anza kufanya Kegel exercises kama placebo tu, japo nguvu unazo tayari..
YOUR PROBLEM IS PURELY PHSYCHOLOGICAL, ndio maana ukienda kwa mchepuko ambaye huna wasiwasi wala pressure ya kuperform, akili yako inatulia na unapiga show…, hicho kitu nimekisikia sana, mtu anashindwa kwa mkewe, ila nje anapiga safi kabisa, ni tatizo tu la kiakili, but physically u r fit!
Ndo mim Sasa kwa mke nashindwa kwa mchepuko Tena nlipiga vizur Tena wawili mmoja alitokea bahat mbaya nkapiga nae fresh...Sasa hii kwangu ndani nin nin maana hata uume nkilala usiku usingizi nkistuka kukojoa haujasimama yaan hata nimejaribu kuangalia x napo baado sisimki hausimami ...Cha ajabu mwezi mmoja nyuma nimepiga mech mbili za nje vizur tuAmini pasi na shaka hiki ninachokuambia, nguvu unazo, tatizo saikolojia yako imesharibiwa na ile faikure yabkwamza kabisa.., sasa jinsi unavyozidi kuwaza ndivyo unatakavyozidi kupata wasiwasi wakati wa tendo, ukishaanza kudoubt tu, moja kwa moja adrenaline inaachiliwa kwenda kwenye damu, na moja kwa moja mashine italala.., sasa dawa hapa ni upogwe Placebo.., anza kufanya Kegel exercises kama placebo tu, japo nguvu unazo tayari..
YOUR PROBLEM IS PURELY PHSYCHOLOGICAL, ndio maana ukienda kwa mchepuko ambaye huna wasiwasi wala pressure ya kuperform, akili yako inatulia na unapiga show…, hicho kitu nimekisikia sana, mtu anashindwa kwa mkewe, ila nje anapiga safi kabisa, ni tatizo tu la kiakili, but physically u r fit!
Basi huenda umepoteza hisia kwa mkeoNlishaga zunguka sana madokta wakanambia nko poa.. na mwezi moja nyuma tu nimenyadua mdada pembeni vizur tu
Madeni Sina labda hapo usumbufu tu wa mke kutaka tendo afu mihofu wasiwasi kama ntaweza hata anishike shike aichezee Walaa haistukiMawazo
Madeni
Usumbufu wa mke
Huna Pesa
Bado unataka kichwa cha chini kifanye Kazi kana kwamba kichwa cha juu kipo sawa?
Narudishaje hisiaBasi huenda umepoteza hisia kwa mkeo
Naomba namba zakeMadeni Sina labda hapo usumbufu tu wa mke kutaka tendo afu mihofu wasiwasi kama ntaweza hata anishike shike aichezee Walaa haistuki
Mama mijengo sijui shida iko wapi aloooh! ☺️☺️Habar wakuu nimeoa ndoa ya miaka12.. nna kuja kwenu tatizo kadri miaka inasogea linakua kubwa zaid nguvu zangu zakiume zimepungua kama sikuisha Sina msisimko kabisa uume hausimami sometime inasimama ila dhaifu mno hofu imekua kubwa sana..pia nna ugonjwa wa thyroids hyperthyroidsm nimeidhibiti kwa dawa...mawazo yamekua mengi...ila kama mwezi mmoja nyuma nimepiga mpango kando show ikawa Iko poa