RSM Dominik
JF-Expert Member
- Apr 3, 2026
- 207
- 561
Mimi ni mdogo kiumri ila kipara kimeniwahi sana, sababu ni cha ukoo,kwahiyo wa dada watu wazima hujichanganya kuniamkia shkamoo hata wewe tukikutana unaweza niamkia
Nimeshangaa Sana kuona mtume bulldozer Mwamposa ni agemate!Hivi watu wakikutazama kwa maisha tuliyonayo Kati ya umri wako na muonekano wako kipi kinaonekana kikubwa?
Umeolewa?Muonekano wangu mdogo, ila umri mkubwa.
Hata wale Madogo niliowabeba Mgongoni, Leo hii wanaonekana wakubwa kuliko mie.
Mimi wewe!🙌🏾Naonekana kama mtoto wa form six kumbe niko ngazi ya tatu kuelekea umauti.
Cc: Seran secretarybird Shadeeya Tlaatlaah
Nasikia kama cha Museveni, hata Mimi nakuamkia aisee.Mimi ni mdogo kiumri ila kipara kimeniwahi sana, sababu ni cha ukoo,kwahiyo wa dada watu wazima hujichanganya kuniamkia shkamoo hata wewe tukikutana unaweza niamkia
HapanaUmeolewa?
Hatarii sana.Noma kweli.
Aiise kwa miaka yangu mtu hawezi nidhania kabisa, maana ni don't look my ageMuonekano wangu mdogo, ila umri mkubwa.
Hata wale Madogo niliowabeba Mgongoni, Leo hii wanaonekana wakubwa kuliko mie.
Una malnutrition, ukuaji wako una sua sua.Muonekano wangu mdogo, ila umri mkubwa.
Hata wale Madogo niliowabeba Mgongoni, Leo hii wanaonekana wakubwa kuliko mie.
Khali kwako ikoje???
Unakunywa pombe mkuu, unazitafuna sana mbususu, hiyo ni hatari inaua Nuru ya usoni, vi mazoezi achana na makitimoto, usifanye sana KAZI Tenga muda wa kulala sana jmosi jpili lala sana Fanya mazoezi ya ndani kama pish upu sits up nk, usipende kukaa juani achana na ma viyoyozi ACMuonekano umenitupa mkono siwafichi member wenzangu
Kipindi naingia zenji nilikua nachoma nyama stone town wale madogo wa hapo walikua wanakuja kukimbizana sana hapo ofsini, nilikija KUACHA asee nimepita juzi salale siamini majicho wale madogo wamepanda hewani mabesi kama yote hata hawanisalimi tena dahMuonekano mdogo,,umri mkubwa,
Kuna Hawa watoto wa 2000🙌
Coc umenipa faraja sana na furaha isio kifaniHapana
Punguza ujuaji kaka tumia kiswahili bhasii🤣I don't look my age